Ninao Ushuhuda Yesu ni Ushuhuda Lyrics
Ninao ninao, ninao ninao
Ninao ushuhuda, siwezi kunyamaza
Ninao ninao, ninao ninao
Ninao ushuhuda, siwezi kunyamaza
Yesu ni ushuhuda wangu
Yesu ni ushuhuda wangu
Amejaa ndani yangu siwezi kunyamaza
Yesu ni ushuhuda wangu
Yesu ni ushuhuda wangu
Amejaa ndani yangu siwezi kunyamaza
Aliyonitendea yamejaa ndani yangu
Yanawaka kama moto, siwezi kunyamaza
Aliyonitendea yamejaa ndani yangu
Yanawaka kama moto, siwezi kunyamaza
Nikikutana na mafarisayo
Nitawaambia habari za Yesu
Nikikutana na masadukayo
Nitawaambia habari za Yesu
Nikikutana na wagonjwa
Nitawaambia habari za Yesu
Ninao ushuhuda siwezi kunyamaza
Nikikutana na tasa
Nitamwaambia habari za Yesu
Nikikutana na aliye chini
Nitamwaambia habari za Yesu
Nikikutana na masikini
Nitamwaambia habari za Yesu
Kwamba anainua siwezi kunyamaza
Ninao ninao, ninao ninao
Ninao ushuhuda, siwezi kunyamaza
Ninao ninao, ninao ninao
Ninao ushuhuda, siwezi kunyamaza
Ninao, ninao
Ni kweli sijafika kule ninapotarajia
Lakini siko kama vile nilivyokuwa mwanzo
Ni kweli sijafika kule ninapotarajia
Lakini siko kama vile nilivyokuwa mwanzo
Amenipigisha hatua huyu Mungu
Amenisogeza huyu Mungu
Kwa hayo nashukuru, nashukuru
Kwa hayo nashukuru, na ninashuhudia
Ninao ninao, ninao ninao
Ninao ushuhuda, siwezi kunyamaza
Ninao ninao, ninao ninao
Ninao ushuhuda, siwezi kunyamaza
Hivi kama sio Yesu mimi ningeitwa nani
Hivi kama sio Mungu mimi ningekuwa wapi
Kama sio msalaba ningekuwa wapi mimi
Kama sio msalaba ningeitwa nani mimi
Yesu amefanya makubwa kwangu
Yesu amefanya ya ajabu
Yesu amefanya makubwa kwangu
Yesu amefanya makubwa kwangu
Kama sio Yesu ningekuwa nimepotea
Kama sio Yesu ningekuwa nimekufa
Kama sio Yesu ningemezwa hai na adui
Kama sio Yesu ningekuwa wapi mimi?
Ninao ushuhuda
Ninao ninao, ninao ninao
Ninao ushuhuda, siwezi kunyamaza
Ninao ninao, ninao ninao
Ninao ushuhuda, siwezi kunyamaza
Ninao ninao, ninao ninao
Ninao ushuhuda, siwezi kunyamaza
Ninao ninao, ninao ninao
Ninao ushuhuda, siwezi kunyamaza
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Ninao ushuhuda Yesu ni Ushuhuda (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
JOYNESS KILEO
Tanzania
Joyness Kileo is a Gospel Singer from East Africa. She is from Dodoma in Tanzania and lives in Nairo ...
YOU MAY ALSO LIKE