Home Search Countries Albums

Nairobi

DON LULU

Nairobi Lyrics


System sijamada but mziki imeenda shule
Entered every hole ndio ni tie kama shoelace
Bar after bar I finesse this steeplechase
Imma pass this shit to my kids like a relay

Where the ref, where the ref
Did he blow the whistle
I was gonna do a sprint break a sweat a little
Paparazzi on my back but they don't get the picture
When it comes to rap swear to God ain't no competition 
What is that, why you ask? What you meaning
Most of y'all ain't trapping or scheming 

RIP lady S only hood bitches queening
Wanasema ngoma zao hazina concept
Hao wamefanya nini kuwasaidia ka si comment
Mapioneer pia kwa hii context
Waliventure kwingine wakasahau mziki jo ni object

Na ni potent check your content
Shoutout kumani** mtaa yako weka project
Na ni potent check your content
Shoutout kumani** mtaa yako weka project

Repeat, repeat, round hii hakuna defeat
Coming for the throne coup de tat kiss di feet
Body shape nice him google me and beat his meat
Bon appetit issa one man fete ala

Ki Rico Gang hatudai kuchachisha
Game nilioa pete nao nkaivisha
Talanta ivisha onset pia ivisha
We run this town hatujali mkibisha

Huku Nairobi, we like to party
Huku Nairobi twapenda kuwaka
Huku Nairobi twapenda kuhanya
Huku Nairobi hepi hepi ni heavy yeiyee

254 nicca UOENO
East kwa mabeast toka stadi hadi Umo
Kula chuom hapo Law Courts nkutolee kiform
Zari seti hio ndom kwa kibong rende ni rong
Na zikishika twende roadtrip
Na ni Friday nigga don't trip

We don't even need no drip
Shawty she just wanna dip
Whole gang the type to tip
Ain't no stripes just ticks
Do it once if I miss, pursuance I desist
Listen to this

Hii ni old school kama kamisi
Taja gava leo kesho bana buda uko missing
Politics na policies zimeharibu ofisi
Sa kila mtu fisi itabidi mwewe ni sisi

Soaring higher sorry haya
Kuna vitu tatu nitasema bila haya
Morally Kenya nzima inadai Omo
Hatuchungi familia wala mdomo

Na hapa bila hatua ni kikomo
Sa kenye hunijamisha
Saa ya kura jina yangu ya pili huniwakilisha
Sijabonga na ushajua nani nimeapisha
Na nani nitapisha hapo nayo utaniachisha
Wakiperch si ndo hufilisia Afrika mzima
Sa usiku wa manane nielewe nikiwika

Huku Nairobi
Huku Nairobi
Huku Nairobi
Huku Nairobi

Huku Nairobi, twapenda raha we know wahala
Huku Nairobi ukipewa gwara hakuna kulala
Huku Nairobi where the women look pretty
Down to the matter nitty gritty
Huku Nairobi, chase pon the bag not the kitty
Tutakuwa fiti

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Nairobi (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DON LULU

Kenya

Don Lulu is an artist/vixen from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE