Home Search Countries Albums

Nipe Nisepe

ECHO

Nipe Nisepe Lyrics


Mara kumi nibugie mapombe
Ninywe pombe niitwe cha pombe tuu
Mapenzi ya ushindani bila kombe
Hamna kombe hapa ni bure tuu
Mmh mwenzenu mimi
Kuforce penzi ndo sijazoeaga
Mmh mwenzenu mimi
Kungagania ndo sijazoeaga
Nikikupenda usiponipenda nasepa
Na ukitenda na ukanisema nacheka
Na tukiachana usijisumbue kublock
Mana mi kwenye moyo na akili nishablock

Nipe nisepe (haya)
Nipe nisepe (uuh)
Nipe nisepe (haya)
Nipe nisepe (tufanye tujikatae)
Nipe nisepe (haya)
Nipe nisepe (uuh)
Nipe nisepe (haya)
Nipe nisepe (pesa mapenzi yakae)

Aaha aaha haya
Haya, tusizinguane baadae

Unataka kila nikilala nikuote
Unataka kila nikikaa nikuwaze (duuh)
Kwa uchumi huu, na ugumu huu
Nisiwaze pesa nikuwaze wewe tu
Kwa uchumi huu, na ugumu huu
Mapenzi kwiyo, yani kwiyo tu
Nikikupenda usiponipenda nasepa
Na ukitenda na ukanisema nacheka
Na tukiachana usijisumbue kublock
Mana mi kwenye moyo na akili nishablock

Nipe nisepe (haya)
Nipe nisepe (uuh)
Nipe nisepe (haya)
Nipe nisepe (tufanye tujikatae)
Nipe nisepe (haya)
Nipe nisepe (uuh)
Nipe nisepe (haya)
Nipe nisepe (pesa mapenzi yakae)

Aaha aaha haya
Haya, tusizinguane baadae

Nipe nisepe  Nipe nisepe
Nipe nisepe  Nipe nisepe
Nipe nisepe  Nipe nisepe
Nipe nisepe  Nipe nisepe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Plus 254 (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ECHO

Kenya

Echo is an artist from Kenya signed under Kubwa Studios. ...

YOU MAY ALSO LIKE