Wangu Parody (Nadia Mukami ft Sanaipei Tande) Lyrics
We ni nani?
Unanisumbua sikujui mimi
Eti umebeba mimba yangu mimi
Ondoka tembeza huoni niko busy
Aki Charlie
Umesahau vile tumetoka mbali yeah
Unaniruka kwanini?
Siamini kumbe unakuwanga fisi yeah
Nilipata pesa kidogo
Mwenzako mi nishaomoka
Mwanamke unagawa gawa
Tafuta mwenye alikupa mimba
Ooh ni yako, mimba nabeba ni yako
Dogo ni yako, kubali sababu ni yako
Ng'o si yangu, mimba unabeba si yangu
Ng'o si yangu, tafuta mwenyewe si yangu
Inaniaffect, na suffocate mimi sipumui
Na inanichoke, inaninyonga, we hunihurumii
Kelele za chura sitambui huyu ndiye baby
Kwa nyumba hanuki harufu ya makwapa kama wewe
Unapenda kuhanya hanya
Warembo unawadanganya
Unajua nakupenda sana
Kubali basi tuitunze mimba
Ng'o si yangu, mimba unabeba si yangu
Ng'o si yangu, tafuta mwenyewe si yangu
Ooh ni yako, mimba nabeba ni yako
Dogo ni yako, kubali sababu ni yako
Mi nitakubomoa, bomoa, bomoa bomoa
Mi nitakubomoa, bomoa, bomoa bomoa mama wee
Mi nitakuzalia, zalia, zalia wee
Mi nitakuzalia, zalia, zalia Charlie eeh eeh
Ng'o si yangu, mimba unabeba si yangu
Ng'o si yangu, tafuta mwenyewe si yangu
Ooh ni yako, mimba nabeba ni yako
Dogo ni yako, kubali sababu ni yako
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Wangu Parody (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE