Nairobi Girl Lyrics

Back it up girl ni ka unapiga reverse
Katika mpaka Dj apull up hii verse
Chachisha kutoka ngware hadi giza
Wakisha nare lights zikizimwa
Piga puff puff alafu pass pass
Zikishika sana mami dunga gas mask
Cheki ras ras ako na cash cash'
Where the bash at nichangamke chap chap
Kuna msichana flani hapa msawa sana
Nikamuuliza kama anaona tukiwai achana
Aii hapana ju venye huwaga umenimada
Figa namba nane love it ukichora saba
And that's is just the half of it
Coz if I ever tell them all, I know we split
Na singetaka ju iwe Lagos ama Kampala
Anywhere we go bado nitadai ule mjanja
Back it up girl ni ka unapiga reverse
Katika mpaka Dj apull up hii verse
Chachisha kutoka ngware hadi giza
Wakisha nare lights zikizimwa
Piga puff puff alafu pass pass
Zikishika sana mami dunga gas mask
Cheki ras ras ako na cash cash'
Where the bash at nichangamke chap chap
Ka ras naneed gyal real, kama Madrid
Na ananipa the love I need
Hata tukikasirikiana good gal gone bad
Na anakaa Rihanna
Ni madam mclassy pia ni hustler
Ride or die kwa maparty ama ndani ya mansion
Si hupendana juu ya blacky ama ndani ya Jaguar
Anafanya nafeel lucky ka a hundred thousand
Back it up girl ni ka unapiga reverse
Katika mpaka Dj apull up hii verse
Chachisha kutoka ngware hadi giza
Wakisha nare lights zikizimwa
Piga puff puff alafu pass pass
Zikishika sana mami dunga gas mask
Cheki ras ras ako na cash cash'
Where the bash at nichangamke chap chap
Back it up girl ni ka unapiga reverse
Katika mpaka Dj apull up hii verse
Chachisha kutoka ngware hadi giza
Wakisha nare lights zikizimwa
Piga puff puff alafu pass pass
Zikishika sana mami dunga gas mask
Cheki ras ras ako na cash cash'
Where the bash at nichangamke chap chap
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Adventures of Chris Kaiga (Album)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
CHRIS KAIGA
Kenya
Chris Kaiga is an artist from Kenya. He is best known for his unique flow in music and catchy phrase ...
YOU MAY ALSO LIKE