Home Search Countries Albums

Utawezana Parody

DOGO CHARLIE

Utawezana Parody Lyrics


Dogo Charlie cheki vile nimeiva (Wacha)
Na vile mi hukuwa nimekubamba 
Aaah avocado pia kwangu we ni msoo
Kwanza vile uchafua ile verse ya Njaanuary eeh

Ilibidi manze sisi ni watamu (So tasty)
Blueband tena ile herbal (Ahh)
Story za herbal kwanza wekwa chumvi
Kwa githeri mi hukuwa nimekutamani

Ehh we Dogo anza kunikula (Wazi)
Nishow ni lini ulinionja (Ahh)
Avocado ehh we hunisotesha
Kwa soko huko kwa mama mboga

Dogo Charlie kunikula utawezana (Nitawezana)
Na lockdown utawezana (Nitawezana)
Manze avocado nakutaka
Nitakukula vile Saf hunyonya bundle, ahh

Dogo Charlie kunikula utawezana (Nitawezana)
Na lockdown utawezana (Nitawezana)
Manze avocado nakutaka
Nitakukula vile Saf hunyonya bundle, ahh

Iko ladha yako iko
Napenda kukula na kijiko (Ehehem)
Dogo unaweza kunifinyaa
Ukitaka kunikula kula faster

We ukijua vile nitakupasua (Ahh)
Mi nataka kukula mpaka nishindwe kutembea ahh
Haki Charlie nimeanza kuogopa
Na ukishiba usisahau kutangaza

Ah hiyo usijali (Sawa) nitatangaza
Nitaambia watu sitaambia tu Landlord
Haina noma leo utanikula
Na mbegu ka ni ndogo sichoke kuntafuta, aahh

Dogo Charlie kunikula utawezana (Nitawezana)
Na lockdown utawezana (Nitawezana)
Manze avocado nakutaka
Nitakukula vile saf hunyonya bundle, ahh

Dogo Charlie kunikula utawezana (Nitawezana)
Na lockdown utawezana (Nitawezana)
Manze avocado nakutaka
Nitakukula vile saf hunyonya bundle, ahh

Napenda kulwa na ugali mboga (OK)
Nikicheki menu yako hapana
Avocado hii ni supu moto motoo
Ni supu tu lakini haina kakitu

Ah nataka kujipata kwa sahani
Ah nitakumeza kwani iko nini 
Ah basi anza kupakua hiyo stew
Ah sisiti nitakugawa into two

Ondoa mbegu (Ok) toa ngozi (Ahaa)
Bora ushibe na unilambe mgongo
Ahh nakudai ju umetoka market
Na we ni Avocado AVOCADO DODO!!

Dogo Charlie kunikula utawezana (Nitawezana)
Na lockdown utawezana (Nitawezana)
Manze avocado nakutaka
Nitakukula vile saf hunyonya bundle, ahh

Ahh ni Dogo Charlie
Mfalme wa Parody
Aaah Wizly WizBoy waambie
035 Kericho

Niko na shati ya Okwonko!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Utawezana Parody


Copyright : (c) 2020 Layon Media.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DOGO CHARLIE

Kenya

Dogo Charlie is an artist from Kenya signed under Layon Media. ...

YOU MAY ALSO LIKE