Home Search Countries Albums

Unanimaliza

DJ PRO Feat. BIG FIZZO

Unanimaliza Lyrics


[INTRO]
Uh yeeeeeh
Dj pro ooh ooooh
Along side fizzo baby
Bantu bwoy praaaaaah

[VERSE 1]
Siku ya kwanza nilikutana naye
Nikama nilikuwa ndotoni mara paaaap aaaah
Nikamuona shori
Shori ameva kimini bling bling ,paka chini
Ndipo alipo nidatisha dj pro nikamsimamisha
Dada unaitwa nani?
Kwakifupi namzimiya
Akileta pozi namchuniya
Mtoto ametuliya
Kila vazi lamtowa
Mini sketi jeans tite kwake ni mashine
Eeeh kanamapozi
Mtaa mzima ni dozi
Ukimuona utashangaa
Utashikwa na butwaa
Mauti uti bibi
Kila kona wanatamani kupiga naye story
Mchizi namzimiya kwake nimenata
Labda tuseme limbwata
Ooh mamy njooo
Utulize yangu rohoo
Sina habari na milupo nafasi yako ipo
Since long time
Mi mkono shavuni
When i remember you sometimes i cry
Baby mama

[CHORUS]
Unanimaliza unavo nipa mapenzi unanifanya niwe hai hai
Sinto kuumiza nitakupa malavi davi mpaka wewe ujidai dai
Wendo wangu kimwana (adoo)
Siojakuona ukiinama (bado)
Nipe kama yale ya djana n(nido)
Na ile sauti ya kinabda (oweee)

[VERSE 2]
Nilikupa kushoto djana ukasema nipe na kuliya
Basi punguza kuliya liya
Mi kidume cha mbengu wala sina kibamiya
Na ilo figa lako minadata nikikamatiya
Ile ki gum gum
Acha kwanza miniwashe ndum ndum
Kila kitu leo ni hum hum
Sogeya karibu unichum chum
Nyota ya mapenzi tayari imesha safiri firi
Nipe zile zama kiri kiri
Na ayo mauno yako mama utanikili kili
Sina ujanja kwako wala sio siri
Unavo nyumbulika nyumbulika nyumbulika kitandani
Utanifanya niwe hayawani
Acha kuvumba
Twende kazi
Panda hewani
Maruhani
Yamesha panda kichwani

[CHORUS]
Unanimaliza unavo nipa mapenzi unanifanya niwe hai hai
Sinto kuumiza nitakupa malavi davi mpaka wewe ujidai dai
Unanimaliza unavo nipa mapenzi unanifanya niwe hai hai
Sinto kuumiza nitakupa malavi davi mpaka wewe ujidai dai
Wendo wangu kimwana (adoo)
Siojakuona ukiinama (bado)
Nipe kama yale ya djana n(nido)
Na ile sauti ya kinabda (oweee)

[VERSE 3]
Inama fanya vile ka unaokota ka buku
Nipe mapigo ki design ka wacheza mchiriko
Jiachiliye usijibaniye utam uko uku
Jiachiliye usinibaniye mamaaaaaah
Wendo wangu kimwana
Siojakuona ukiinama
Nipe kama yale ya djana
Na ile sauti ya kinanda

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Unanimaliza (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

DJ PRO

Burundi

DJ PRO  is a recording artist and music producer from Burundi. ...

YOU MAY ALSO LIKE