Lamgambo Lyrics

Bebe nakwitaaa ( kamkamkam kamkamkam )
Ukowapi njoo fasta Eeh ( njoo njoo njoo njoo )
Bebe nakwitaaa ( kamkamkam kamkamkam )
Ukowapi njoo fasta Eeh ( njoo njoo njoo njoo )
Mimi apa nakupenda
Ukiniacha wee sina pakwenda
Basi njoo hapa tupeane denda
Moyo unakwenda speed zaidi ya kalenda
Limelia ilooo " Limeliaaaa ( lamgambo )
Limelia iloo " Limeliaaaa ( lamgambo )
Lamgambo likilia basi ujue kuna jambo ( jambo ilo,, jambo iloo )
Siunajua nakuzimia Kuja tuyafanye mambo ( mambo hayo,, mambo hayoo )
Bebe nakwitaaa ( kamkamkam kamkamkam )
Ukowapi njoo fasta Eeh ( njoo njoo njoo njoo )
Mi mwenzako nimekumiss
Tuwe pamoja ka tomato na chipsi
Nipe penzi lako usinipe hadithi
Sogeza iyo midomo nikunyweshe juice
Ona wee ona ona wee ona
Ona wee ona moyo wangu unadundadunda
Ona wee ona,, ona wee ona
Ona wee ona moyo wangu una dundadunda
Limelia ilooo " Limeliaaaa ( lamgambo )
Limelia iloo " Limelia ( lamgambo )
Lamgambo likilia basi ujue kuna jambo ( jambo ilo,, jambo iloo )
Siunajua nakuzimia Kuja tuyafanye mambo ( mambo hayo,, mambo hayoo )
Bebe nakwitaaa ( kamkamkam kamkamkam )
Ukowapi njoo fasta Eeh ( njoo njoo njoo njoo )
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Lamgambo (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE