Home Search Countries Albums

Cheki Lyrics


Cheki cheki look ni freshi prada
Mi hubeng beng na denge ana daba
Why you hating hauko freshi brother
Kongdem mandem Bouty cheki Mastar

Cheki cheki look ni freshi prada
Mi hubeng beng na denge ana daba
Why you hating hauko freshi brother
Kongdem mandem Bouty cheki Mastar

Cheki cheki look ni freshi prada
Mi hubeng beng na denge ana daba
Why you hating hauko freshi brother
Kongdem mandem Bouty cheki Mastar

Kama benzo wape C
Na bado wapate tu E class
Toka teke mziki field
Mi Mbappe juu ya hii verse
Sauti nayo ni nyororo
Mahater zao ni kunyongwa
You are never promised tomorrow
On a daily buda ninakafunga
Look zangu daily mtumba nimejipin ndio maana nadunga
Mangwai naziseti Pangani na bado zitanirunda
On a daily niko PTA kwa mashawdy mi ni daddy
Wanapenda vile niko mbioni ni Fally juu ya (i)pupa
Hawa mahater na hawanioni hata wakuje na ndumba
Mbogi nayo buda imesimama ni kama jam ya Nairobi
Genge si kapuka, gang gang ukizusha
Ever since niweke dreadi wanazubaa medusa

Cheki cheki look ni freshi prada
Mi hubeng beng na denge ana daba
Why you hating hauko freshi brother
Kongdem mandem Bouty cheki Mastar

Cheki cheki look ni freshi prada
Mi hubeng beng na denge ana daba
Why you hating hauko freshi brother
Kongdem mandem Bouty cheki Mastar

Oooh nadrown myself in drip
Naskia harufu ya silver najichukulia ngoto na sling
Anabonga matope nimepitia tarmacs since lini
Naskia nimejam naroll kikolo na slim
Evading fracus ndio imekuwa part of schemes

Nikey no balenciagas,they're just too big
Frontman sijai kuwa msee wa kuchochwa
The irony Im just too big
My bars are like venom, they're just too deep

Unarap vigangstar vile unadance the boy too breezy
Unadai hujadishi yet your hands are just too greasy
Sitrust this fishers of men their price they are just too fishy
All black nikiingia harusi all white ni time ya mazishi

Cheki cheki look ni freshi prada
Mi hubeng beng na denge ana daba
Why you hating hauko freshi brother
Kongdem mandem Bouty cheki Mastar

Cheki cheki look ni freshi prada
Mi hubeng beng na denge ana daba
Why you hating hauko freshi brother
Kongdem mandem Bouty cheki Mastar

Cheki look ni freshi, chapa kitu upesi
Rungu bigi aki babe nikitoa ni kesi
Vile naidribble Messy, ni kuwalaza Hessy
Leo nadai Hennesy
Zitushike alafu tudensi
Kaa ni beat wacha ihit
Kaa ni ngeus naplay na tits
Oooh weuweh,wachana na fisi atakucheat
Boo,burukenge, ni unijenge
usicheze na VK mi huwanyonga na seng'enge
Mamah ni msweet like honey, nilimjaza tummy
Vile naihit ye ndio huwika usitoke babe Im coming
Swagga ni ya mamali,shada na makali
Mbogi ni ya masenge,chopper na magari4

Cheki cheki look ni freshi prada
Mi hubeng beng na denge ana daba
Why you hating hauko freshi brother
Kongdem mandem Bouty cheki Mastar

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Cheki (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DENZEL KONG

Kenya

Denzel Kong real name Denzel Vincent also known as Mr Kitu Nono is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE