Kata Lyrics

Na nilivyokuonaga katoto shepu go gaga
Na vile umejitanda kwako baby nishadata
Na mapenzi ya kweli sio kuzo
Na kama namba nakupa
Wengine matapeli leo najua
Ndio maana nishapenda
Yaani kinyamwezi baby nikupe roho
Usiwape mwanya wakuboo
Maana nitakwama nawe, nitakwama nawe
We ndo wangu my boo
Kata sokota, fanya kama unaipepeta
Kata sokota, fanya kama unaimbembeleza
Kata sokota, fanya kama unaipepeta
Kata sokota, fanya kama unaimbembeleza
Nataka nikuhonge jaguar mama, jaguar mama
Njoo nikupe na banana, na banana
Tunafanana kama mapacha baby
Yaani msambwanda ukiwa kwa bed
Tatu beki ina maudeki
Yaani mpaka mi nakosaga breki
Kwako nina hisia baby nipigie
Kidume mi badili kwako tazamia
Yaani kinyamwezi baby nikupe roho
Usiwape mwanya wakuboo
Maana nitakwama nawe, nitakwama nawe
We ndo wangu my boo
Kata sokota, fanya kama unaipepeta
Kata sokota, fanya kama unaimbembeleza
Kata sokota, fanya kama unaipepeta
Kata sokota, fanya kama unaimbembeleza
Ka ligi soo kifo cha mende chali
Yaani kama whine kwa party
Oh baby njoo sura ka mudoli
Pete nikuvishe kwa kidole
Yaani kinyamwezi baby nikupe roho
Usiwape mwanya wakuboo
Maana nitakwama nawe, nitakwama nawe
We ndo wangu my boo
Kata sokota, fanya kama unaipepeta
Kata sokota, fanya kama unaimbembeleza
Kata sokota, fanya kama unaipepeta
Kata sokota, fanya kama unaimbembeleza
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Kata (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE