Manzi wa Kishua Lyrics

Manzi wa kishua, anataka manzi wa kishua
Anataka manzi anajua, anataka manzi ameweza
Manzi ka Mito, Manzi kama Femi
Manzi wa kishua, anataka manzi wa kishua
Anataka manzi anajua, anataka manzi ameweza
Manzi ka Mito, Manzi kama Femi
Nimejazwa gas, nishapanga verse
Naongoja nipande ngazi
Hii ni ya ras
Sina ubaguzi pengine napenda wapimia tu
Nina ujanja toka jana watavumilia tu
Mbio ni kama ya swara mtasinzia tu
Sina usingizi leo nataka bill utani
Na kama haileti pesa asitune hadharani
Nikiwasha moto watazima kwa ndoto
Anataka mtoto amejazwa mboto
Ameweza sana tena hana usoto
Atachana chana kisha apige dana
Daddy leo mi nitakupamper
Aki ya nani unanibamba
Leo nimefunga kanga
We ni star we si mdandaaa
Hizo haga ndo nataka
Manzi wa kishua, anataka manzi wa kishua
Anataka manzi anajua, anataka manzi ameweza
Manzi ka Mito, Manzi kama Femi
Manzi wa kishua, anataka manzi wa kishua
Anataka manzi anajua, anataka manzi ameweza
Manzi ka Mito, Manzi kama Femi
Leo mi ni waiter nataka kuwateka
As queen niwakunywe na kuhepa
Uliza fathela hawawezi kunilenga
Niko na pesa kwa kibenje si za sponsor
Niko na haga wanataka tu rombosa
Na bad boy form ni za nightgal
Nimejiseti nitadunda kwa sidegal
Leo nimekuja bila kuweka diper
Si uwashe kandom nina lighter
Tukicheza tu mixes za Lyta
Hizo parts nikirob uko high ga
Ju hii ni Juice girl ina mautamu
Ukilete shida buda utapata taabu
Nataka bazu amejazwa maajabu
Ameunga sana anaweza vunja mbavu
Prank games, late games
Tusislide ki asisi tu lie aah
Panda mi nataka pagawa eeh
Fanya ni ka unazama
Pinduka ni ka unataga
Daddy leo mi nitakupamper
Aki ya nani unanibamba
Leo nimefunga kanga
We ni star we si mdandaaa
Hizo haga ndo nataka
Manzi wa kishua, anataka manzi wa kishua
Anataka manzi anajua, anataka manzi ameweza
Manzi ka Mito, Manzi kama Femi
Manzi wa kishua, anataka manzi wa kishua
Anataka manzi anajua, anataka manzi ameweza
Manzi ka Mito, Manzi kama Femi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Manzi wa Kishua (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE