Shukurani Lyrics
Kati ya wafalme
Hakuna wa kulinganishwa na wewe
Kiganjani umenichora
Kila siku mimi nibaki na wewe
Sikumbuki ya zamaani
Umeifanya historia
Machozi yangu ulifuta
Zile enzi nilipolia
Yule yule aliyevuliwa mavazi (Yule)
Yule yule akatemewe na mate (Yule)
Yule yule aliyepigwa mijeledi (Yule)
Yule ndo Yesu wangu ooh
Yule yule aliyevuliwa mavazi (Yule)
Yule yule akatemewe na mate (Yule)
Yule yule aliyepigwa mijeledi (Yule)
Yule ndo Yesu wangu ooh
Basi shukurani zangu
Shukurani zangu zikurudie
Ulikonitoa ni mbali sana
Shukurani zangu zikurudie
Ah mengine siwezi sema ehee
Shukurani zangu zikurudie
Acha ninyamaze maana upendo wako umenizidi
Shukurani zangu zikurudie
Kati ya viumbe wote
Hakuna wa kufananishwa na wewe
Jehovah wanipa nguvu
Wakati mie ni mnyonge
Usiyeaibisha nakutazamia Jehovah
Macho yangu yako kwako
Katu sitaogopa kamwe
Yule yule aliyevuliwa mavazi (Yule)
Yule yule akatemewe na mate (Yule)
Yule yule aliyepigwa mijeledi (Yule)
Yule ndo Yesu wangu ooh
Yule yule aliyevuliwa mavazi (Yule)
Yule yule akatemewe na mate (Yule)
Yule yule aliyepigwa mijeledi (Yule)
Yule ndo Yesu wangu ooh
Basi shukurani zangu
Shukurani zangu zikurudie
Ulikonitoa ni mbali sana
Shukurani zangu zikurudie
Oh mimi sifai lakini bado wanipenda baba
Shukurani zangu zikurudie
Ooh nasema asanye umenitosha baba
Shukurani zangu zikurudie
Nikupe nikupe nikupe nini
Nikupe nini?
Nikupe nikupe nikupe nini
Nasema asante
Nikupe nikupe nikupe nini
Nikupe nini?
Nikupe nikupe nikupe nini
Nasema asante
Yule yule aliyevuliwa mavazi (Yule)
Yule yule akatemewe na mate (Yule)
Yule yule aliyepigwa mijeledi (Yule)
Yule ndo Yesu wangu ooh
Yule yule aliyevuliwa mavazi
Yule yule akatemewe na mate
Yule yule aliyepigwa mijeledi
Yule ndo Yesu wangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Shukurani (Single)
Copyright : (c) 2020 Safri Records.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE