Home Search Countries Albums

Bad Kampane

WHOLLA

Bad Kampane Lyrics


4Ward! 4Ward!
Yoh Wholla

Mtaani si ni Bad Kampane, si ni Bad Kampane
Wakibonga ju ya bad, tulizama ndane
Bad Kampane si ni bad kampane
Wana,try so hard Acha wapambane 
Tukistep kwenye scene si unajua si huapeleka na
Marking scheme tunawapa guide lines
Hi mtaa si ndo C.E.O, C.E.O Hey
C.E.O si ni Bad Kampan

Headshots kwetu huaga free throw
Top dog si hucheza kwa Billboard
Living like it’s Heaven tho si huaga Evil
Anywhere a G go si unajua di ting go
Niko Westside Niko 4 ever 
We leta zogo Niko ready War Ever
Usiku me skujui me nko wera no favor
Nlifunzwaga na streets thts why Nko so clever
Nacheza na Doo utathani circus 
Veny natekaga mawhore oh oh ni cash cash
Nlifunzwa na mokoro,nisitrust ass
Skuizi love tu ni lastre Famo hukam first

Mtaani si ni Bad Kampane, si ni Bad Kampane
Wakibonga ju ya bad, tulizama ndane
Bad Kampane si ni bad kampane
Wana,try so hard Acha wapambane 
Tukistep kwenye scene si unajua si huapeleka na
Marking scheme tunawapa guide lines
Hi mtaa si ndo C.E.O, C.E.O Hey
C.E.O si ni Bad Kampan

So Acha Vitisho, vitisho
Nani ka me hujazaga ma binti show oh
Ganji zako hucheza brikicho
Usiai try reap ile place haukusaw
Na Usiai bishana na me kidoo 
Neeza teka any girl kwanza ka ana vitu soo hoh 

Ka ana sura ka ya me Usooh hey
Ka ana sura ka ya me usooh
Nu ni death wish ukitry take risk
Apa hakuna peace kwanza ka ulitry kudis 
East Ukitry dis West itabaki udis miss round ingine
Utajikuta six feet deep

Bad Kampane, si ni Bad Kampane
Wakibonga ju ya bad, tulizama ndane
Bad Kampane si ni bad kampane
Wana,try so hard Acha wapambane 
Tukistep kwenye scene si unajua si huapeleka na
Marking scheme tunawapa guide lines
Hi mtaa si ndo C.E.O, C.E.O 
Hey C.E.O si ni Bad Kampan

Bad Kampane, si ni Bad Kampane
Wakibonga ju ya bad, tulizama ndane
Bad Kampane si ni bad kampane
Wana,try so hard Acha wapambane
Tukistep kwenye scene si unajua si huapeleka na
Marking scheme tunawapa guide lines
Hi mtaa si ndo C.E.O, C.E.O 
Hey C.E.O si ni Bad Kampan

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Bad Kampane (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WHOLLA

Kenya

Jondix Wholla real name John Awala Okumu is a hiphop and dancehall music artist and a ...

YOU MAY ALSO LIKE