Tuache Kunyonga Monkey Lyrics

Crazy Kennar - Tuache Kunyonga Monkey lyrics
Vijana tuache kunyonga monkey
Nasema tuache kunyonga monkey
Vi vijana tuache kunyonga monkey
Nasema tuache kunyonga monkey
Unapata vijana wananyonga nyonga monkey
Asubuhi ananyonga nyonga monkey
Hata hajaosha uso bwana
Ashanyonga nyonga monkey
Lunch time bado ananyonga nyonga monkey
Simu yake imejaa mbinu za kunyonga monkey
Aki bebs siwezi dum
Ashaanza kunyonga monkey
Vijana tuache kunyonga monkey
Nasema tuache kunyonga monkey
Garini, ananyonga monkey
Kitchen, anashanyonga monkey
Everywhere ananyonga monkey
Hana kazi, hana kazi
Monkey yako haipumui
Monkey yako itakufa
Monkey yako haipumui
Monkey yako itaisha
Vijana tuache kunyonga monkey
Nasema tuache kunyonga monkey
Vi vijana tuache kunyonga monkey
Nasema tuache kunyonga monkey
Sasa ni usiku tushaanza kunyongwa
Morris saka dem sisi tumechoka
Na zikishika sana, ashaleta kiwi
Na isipotosha ako na arimis
Chunga sana we chunga sana chunga
Utaatua sisi eeh
Chunga sana we chunga sana chunga
Utaatua sisi eeh
Monkey yako haipumui
Monkey yako itakufa
Monkey yako haipumui
Monkey yako itaisha
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Tuache Kunyonga Monkey (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE