Gari ya Moshi Lyrics

Tamaa tamaa tamaa
Taswira yake imenizidi
Labda safari itanifaa
Labda itanipa utulivu
Nasikia sauti, nasikia sauti (Sauti)
Gari ya moshi inaenda sana
Nibebe nirudishe nyumbani
Gari ya moshi inaenda sana
Nibebe nirudishe nyumbani
Rudi rudi rudia
Rudia nipate usalama,
Nilidhani Upweke unanifaa,
Lakini upweke umenizidi,
Nasikia sauti, nasikia sauti (Sauti)
Gari ya moshi inaenda sana
Nibebe nirudishe nyumbani
Gari ya moshi inaenda sana
Nibebe nirudishe nyumbani
Lia, lia, tulia
Dunia kafanana jahanamu
Kovu nazo zajifichua
Labda safari itanifaa
Nasikia sauti, nasikia sauti (Sauti)
Gari ya moshi inaenda sana
Nibebe nirudishe nyumbani
Gari ya moshi inaenda sana
Nibebe nirudishe nyumbani
Gari ya moshi inaenda sana
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe
Gari ya moshi inaenda sana
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe
Nibebe, nibebe, nibebe, nibebe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Changanya (Album)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NABALAYO
Kenya
Nabalayo also known as 'Mama Changanya' is a music maker, folk music, and ethnomus ...
YOU MAY ALSO LIKE