Home Search Countries Albums

Exponential Potential

JULIANI

Read en Translation

Exponential Potential Lyrics


Yeah
Exponential potential
Walitudharau aha aha ahow
Whose laughing now
Exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao
Tunaogelea kwa jasho zetu
Whose laughing now aha aha ahow
Millioni from ten bob nilitoa wapi x kwa zeros
Jiulize mbona donut ina shimo
Shingo shortcut ya mfuko
Toe ni legal dish kwa rooftop
Si ya Dstv ya kuomba dishi distinct
Vampire vegeterian white heads
Non believers wanatuita high class
Soma colle juu ya night club
Result slip haidetermine pay slip
Toka niwe phoetus mpaka pahali nimefika
God's finger Imemove steels
Walitudharau aha aha ahow
Whose laughing now
Exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao
Tunaogelea kwa jasho zetu
Whose laughing now aha aha ahow
Exponential potential wachana nao
Toka kitambo nimekuwa photogenic
Wazazi waliinsist na story ya photosynthesis
Nani hajui udaktari si lazima uwe mwerevu
Kwa karatasi ya dawa hawamalizagi hesabu
Ocampo wananeed more ink
More pages jina zifit kwa list
Si exagerate ka kufunika puncture na bandage
Ndovu haiwezi hata ngumi ya mosquito
Mi si muimportant Bila mimi mama mboga ata hana customer
Ngumu kwangu kizungu fluent but huwezi command umati na influence
Walitudharau aha aha ahow
Whose laughing now
Exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao
Tunaogelea kwa jasho zetu
Whose laughing now aha aha show
Exponential potential wachana nao
Kuku yangu inalia ina swineflue
Iliponiona nikinoa kisu
Nilikaribisha iliassume nipek si food
Homa inafunika nosestrils
Coincidentally anapika seafood
Akadhani sinusii harufu
Uchoyo hainaga karibu
Msoto ikiknock door nikaona ikilook familiar
Have we met before
Kuku inaidle nje Kenchick
Ni date bending
Hard work kuget the best out of life
Get saved get the best out of death eh
Walitudharau aha aha ahow
Whose laughing now
Exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao
Tunaogelea kwa jasho zetu
Whose laughing now aha aha ahow
Exponential potential wachana nao

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2011


Album : Exponential Potential (Album)


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

JULIANI

Kenya

Juliani real name Julius Owino is an artist from Kenya. He is best known for songs such as "Uta ...

YOU MAY ALSO LIKE