X
Utukufu Lyrics

Msalabani ulimaliza yote niko huru
Msalabani ulimaliza yote niko huru
Umenivalisha utukufu wako, Yesu wangu
Jinsi ulivyo ndivyo nilivyo
Jinsi ulivyo ndivyo nilivyo
Pokea, pokea utukufu Yesu
Pokea, pokea heshima zote
Pokea, pokea utukufu Yesu
Pokea, pokea heshima zote
Umenipa vyote tena wewe wangu
Umenipa vyote tena wewe wangu
Umenipa vyote tena wewe wangu
Umenipa vyote tena wewe wangu
-----
---
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Utukufu (Single)
Copyright : (c)2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE