Home Search Countries Albums

Unioshe

COLLO G Feat. WANAVOKALI

Unioshe Lyrics


Baba Baba(Yes), nakuita(Uh) 
Nisikie(Please listen to me father)
Ninaomba(I pray to you, uh)
Unioshe niwe kama wee

(Collo G, Cedo)
Oooh, oooh unioshe

I've been a sinner 
Hata maji niliombwa nikasema sina
Always I wanted to be singer but
Along the way focus ilibaki sina

Ju mi nilifocus na mambo ya dunia
I trusted din man mpaka roho ikaumia
And even though I grew nikijua sifai kulia
Some time it became so much kuvumilia

Ju I tried to take my life
Nilichagua pills ju kuna pain kwa knife
Heri nitoke there is no need for life
I wanted to get away from this lethal life

Next minute nikajipata mi ninadrip
Niko na magrip kwa mikono nina drip
At the moment niliomba life ikuwe ni dream tu
But it was real haikuwa ni dream

Baba Baba, nakuita nisikie
Ninaomba unioshe niwe kama wee
Oooh, oooh, oooh 
Unioshe, oooh

Cheki, past 18 I think am now grown
Nilicheki vitu mingi I was so mind blown
Kuingia kwa game nikachanganywa na fame
Kiburi kubwa kubwa nikatumia madem

Ju monday to monday nilijipata kwa club
Nikajifanya mjanja nikapigana na babu
And back home matha alikuwa na taabu 
Kujali chest up nikajikuna mashavu

Then nikaanza kupiga injili
Haikuwa kwa roho ama mwili
As long as ilikuwa kwa akili
Nikaifanya biashara injili

I used to rap for my benefit
I used to rap for my benefit
Ndio mi nifit, right now naomba uvumilivu
Patience and kindness nisije kuskia wivu

Baba Baba(Yes), nakuita(Uh) 
Nisikie(Please listen to me father)
Ninaomba(I pray to you, uh)
Unioshe niwe kama wee(Collo G)
Oooh, oooh, ooh unioshe
Oooh, oooh unioshe oooh

Right now nimelearn kutulia
Nimelearn sifai kumix na mambo ya dunia
Nimejua that peace and serenity 
Is better than tabia zingine za ucelebrity

I wanna stay true to your word
Be faithful and deep in your word
Cz no matter zile vitu nilifanya
Ju you stayed by me ndio maana mi nasema

Lord you never give up for me
And you see me for me(You see me for me)
When am down on my knees
How can this always be?
That you love me for real
That you love me for real
That you(That you Lord)
I will be for real 

Collo G

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Unioshe (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

COLLO G

Kenya

Collins Majale , better known as Collo G (collographer) is a Kenyan Gospel rapper. ...

YOU MAY ALSO LIKE