Hizi Bundas Lyrics
Tuna pull up, mraia watuta
Tuko juu ya nduthi na backup ya Uber
Madem wanakaa Chungli, maboss chicki Huddah
Venye wanastagger ni ka wanabanjuka
Dem chuma but anadai kuchungwa
Hiyo tender haiwezi juu tu tumeanza dunda
Itabaki wametokwa ka mlango haijafungwa
Hizi bunda, zafaa kupigwa bundas
Najaza meza pamoja na ukuta
Ju hizi bunda zinanisumbua
Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa
Ju hizi bunda zinanisumbua
Najaza meza pamoja na ukuta
Ka unanijua leo upigwe na kichupa
Ju nina bunda na zangu zimerunda
Ju nina bunda zinanisumbua aaah
Bundas
All eyes on me kama Makaveli
Zikicheki cheki mfuko zangu heavy heavy
Hadi mwenye bar na manager anadai selfie
Ju meza imejaa mizinga za Henny
Ita waiter akam(Oya kam)
Mtu wangu shika glass
Leo pia pigwa na kichupa
Keep change ukipigwa na
Najaza meza pamoja na ukuta
Ju hizi bunda zinanisumbua
Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa
Ju hizi bunda zinanisumbua
Najaza meza pamoja na ukuta
Ka unanijua leo upigwe na kichupa
Ju nina bunda na zangu zimerunda
Ju nina bunda zinanisumbua aaah
Bundas
Leo situpi lugha ni mabundas zinazungumza
Na magyaldem kwa maniaba ya the nandem
Wananisugua kama kipande
Kutoka sunset hadi mangware
Na leo nawabadilisha kama machannel
Nawai slim team pumpum baadae
Na halla mellanin na yellow ting same time
Niko idhaa ya kucheza kimimi one time
Najaza meza pamoja na ukuta
Ju hizi bunda zinanisumbua
Leo mpaka bouncer apigwe na kichupa
Ju hizi bunda zinanisumbua
Najaza meza pamoja na ukuta
Ka unanijua leo upigwe na kichupa
Ju nina bunda na zangu zimerunda
Ju nina bunda zinanisumbua aaah
Bundas....
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Bundas (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
CHRIS KAIGA
Kenya
Chris Kaiga is an artist from Kenya. He is best known for his unique flow in music and catchy phrase ...
YOU MAY ALSO LIKE