Home Search Countries Albums

I want

CHRIS KAIGA Feat. MUTORIAH

I want Lyrics


I want, I want
I want this girl to come and dance with me
Like so, like so, like so
Like so, like so, like so

Nikikazana na shule 
Nilikazanga mashoelace nikafunge
Sai naturn up on a club on a Tuesday
Na mi hujipata kila saa napapasa kashuthe

Pasapasa dancer mi ni mtu tu matuste
Mafisi wanahunger ya mahaga na ma cute face
Na binti anakaa ni kama yeye ni star wa movie
Kweli amebeba kama nganya ya bure
Itabidi hata bill ikizidi waiter atumwe

Leta mbili baridi na glass ya champagne for the galdem
Kiti haikaliki mami akidance for the galdem
Akili imechizi naona after club ni Mathare
We nikatikie hivi usiku hadi ngware

I want, I want
I want this girl to come and dance with me
Like so, like so, like so
Like so, like so, like so

Magaldem watamaliza the mandem
Sijalipa rent washanimalizia mshande
Ju Monday to Monday niweke clande
Ni tofauti kwa budget plus na beshte yake

Itabidi nipange mpango wangu wa kando
Ju hao magaldem wako fine kama salamu
Na wapiga Kiswahili kama mtaalamu
Na sijatoka area za Malindi ama Lamu

Akining'orea nachorea ka kalamu
Alafu songea beste yake na "Hawayu"
Natupa lugha nikiorder tu mang'ang'u
Baadae baadae nakafunga ka karau

I want, I want
I want this girl to come and dance with me
Like so, like so, like so
Like so, like so, like so

Aki ananimalisa malisa na kafiga akikatika
Maajaliwa hataniambia amemarryka marryka
Ju amepakisha maninja wote wamemkaribia
But najiaminia kakhi ka Nyashinski
Kwanza nikichangamsha Barley na matot za Whiskey

Najipata nishamanage kumsongeshea kiti
Nikimchangamsha pale na mashots ka mbili
Mfuko ikule damage madeni zizidi
Mashida baadae, brathe iko nini?

Ni ma assets on assets ka budget ya nchi
Namkulisha the language and hearabouts vifiti
Mpaka akule dancey anirombosee mwili

I want, I want
I want this girl to come and dance with me
Like so, like so, like so
Like so, like so, like so

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : The Adventures of Chris Kaiga (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CHRIS KAIGA

Kenya

Chris Kaiga is an artist from Kenya. He is best known for his unique flow in music and catchy phrase ...

YOU MAY ALSO LIKE