Voom Voom (Chong'iong'io) Lyrics
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Chong'iong'io, Vroom Vroom
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Huyu msupa namride ride kama nganya
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Chong'iong'io, Vroom Vroom
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Huyu msupa namride ride kama nganya
Ni mangware na unaona nishapiga hadi shati pasi
Shaddy anaweka bash ju amefika thirty
Looku vapour Vasace, nishatateka ule crush
Magizani tuko bash kimasharti
Yolo smile toka ufine
Tu kam bash tuparty am high
Imebidi ni crash ndo nikupate, nimekuzoom for a while
Na najua we si lejo lakini niko isaa nikukate
Ni kapumpum voom voom nika tuktuk
Piga doom doom , zoom zoom ua umbu
Niko kwa zone ya kudrive so natoa kishati
Masteam ziko on sijapoteza car keys
Na ki kiki mafans wanahitaji fan kiss
Voom voom ni moshogi basi pita na nyonye
Ndrrn ndrrn inaudhi kwanza akishika kuni
Sssh sssh ishazima basi chapa kikonki
Ai chapa kiponkie aii(Garini twa twa )
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Chong'iong'io, Vroom Vroom
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Huyu msupa namride ride kama nganya
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Chong'iong'io, Vroom Vroom
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Huyu msupa namride ride kama nganya
Bugatti gari kubwa hiyo siwezi lenga
Vile uko modified ka kibenz kwa mkeka
Kurwa kila mahali nawe naenda kuitwa bazenga
So nipe kiss kuonyesha naeza kugurumisha
Vile unang'aa service kwako mi niko on duty
Kunywa osoti nyororo toa nyoka pangoni
Macho kublingize na indicator na foroli
Nikusunde ibaki mafisi wanakula pamba
Unanibamba vile unadondosa hiyo bambam
Kwenye sidemirror naimagine vile we ni mtam tam
Hadi kwa murram uko stable zaidi ya canter
Kuongeza gear namba 12, still unaweza handle
Voom voom gurumisha beat kama kinduthi
Pale grao seti koro moshi ipite na vumbi
Ka ni mic pass kama chain ya kivela
Buda mi hureverse time ka ni ndoto na Vera
Kwenye K, kwenye shash, kwa majani kujinyce
Staki check nipe cash, thobothobo hii ni taste
Tukinyamba hao mafala wananusa
Msupa wako ndo kibanda mi huchagua mahungwa
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Chong'iong'io, Vroom Vroom
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Huyu msupa namride ride kama nganya
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Chong'iong'io, Vroom Vroom
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Huyu msupa namride ride kama nganya
Nobody haffi know this girl she a murder
Akidunga dress ghetto youth anawamada
Oh-Oh Oh-Oh murder she wrote
Bad man she know amenimada Shiro
Sweet diva, who got keys to my bima
Leo nakaride night long, night soften killer
She my night nurse bami killer
Me ah reamedy when she needs bum dealer
Eh-Eh...Eh
Alijipa ikabaki amezama bila kinga
Ruka mimba, choreshwa giza girimba
Pigwa thunder after kujichocha anajua kuchimba
Rungu ilivimba so fisi ameshindwa kuwinda
Badilisha chuma ngoko wako natupa lugha
Si ati alifunga ni vako ati aliuzanga duka
Baada ya kukumba ni kuvua alafu nakula
Ju kananiua itabaki nimekahandle kama maua
Ka whiskey na kako beso niko maji
Niko tipsy nafika bei adisia makali
Pandisha steam nina nare buda sindua zigi
Itisha chenye utaitisha hapa buda mali ni nyingi
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Chong'iong'io, Vroom Vroom
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Huyu msupa namride ride kama nganya
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Chong'iong'io, Vroom Vroom
Chong'iong'io, Voom Voom Voom
Huyu msupa namride ride kama nganya
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Voom Voom (Chong'iong'io) (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
RIOT
Kenya
Riot is an upcoming music group from Kenya formed in 2019 and mentored by Kartelo. Members include; ...
YOU MAY ALSO LIKE