Maria Lyrics
Nilipanga milele kuishi naye
Kwenye shida na raha nitakufa naye
Asiniache njiani natembea naye
Oooh Mary Mary ooooh
Hayo machozi ukifuta nitalia naye
Ye ni nyoka inawaka nawaka naye
Akiniita nakuja hakuna baadaye
Oooh Mary Mary ooooh
Kwake roho imetua oooh Mashallah
Siondoki wengine nawakataa
Mary mtoto kaumbika nawakataa
Nilijua nikimkosa mwana balaa
Kuwaza ataniacha nakataaa
Oooh Mary Mary oooh
Oooh Mary Mary oooh
Oooh Mary Mary oooh
Ooooh Maria,
Maria Maria Maria
Maria Maria nalia
Aaaah nimekomaaa
Ooooh Maria,
Maria Maria Maria
Maria Maria nalia
Aaaah nimekomaaa(Aaah)
Mary mbona unaniacha mimi?
Umeondoka wanitesa mimi
Nateseka hata siamini
Umenibwaga umenitupa chini
Mahabuba ma pochi pochi my love
Nakuwaza ma pochi pochi my love
Usiniwache ma pochi pochi my love
Nakupenda ma pochi pochi my love
Kama pesa zisije kukuhandaa
Usijeniacha ukafuata mapapa
Mi ni mkweli kwa penzi lako
Mpaka kufa mimi ni wako
Ooooh Maria,
Maria Maria Maria
Maria Maria nalia
Aaaah nimekomaaa
Ooooh Maria,
Maria Maria Maria
Maria Maria nalia
Aaaah nimekomaaa(Aaah)
Mary cheza 1, 2 na unaclap clap
Mary makofi Mary kwa kwa
Weka pozi kaswag kwenye snap snap
Mary wat wat, yaani kwa kwa
Mary cheza 1, 2 na unaclap clap
Mary makofi Mary kwa kwa
Weka pozi kaswag kwenye snap snap
Mary wat wat, yaani kwa kwa
Yeah yeah, Chidi Benz
Yeah yeah, Chidi Benz....
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Maria (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE