Nahodha Lyrics

Yeah
Ye baba
Najiona wa ajabu eeh
Nikikutazama
Hivi naota ama nachanganyikiwa
Joto nalo lashuka degree, waliniliza TBT
Na moyo nshakupa naa
Na wewe ndio nahodha wa meli yangu
Huhitaji CV Ooooh
Atukinge yahilahi tuwe Salama aah
Atuepushe na mabaya ya wengine
Maana najiona
Nachanganyikiwa ooh nyikiwa
Ndaama nanonaa
Nanyonyeshwa Maziwa ooh maziwa
Ahh kama mapenzi ni jihadi tuko peponi
Kwa jinsi tulivvopambana na hali yetu rohoni
Kuna vijiba vya nafsi wale wa roho, wa roho
Wanaosubiri tuachane hata kesho
Sisi bado, Sisi bado oooh
Sisi bado, kuachana sisi bado
Sisi bado ooooooh
Oh sisi bado ooh
Kwani Na wewe ndio nahodha wa meli yangu
Huhitaji CV ooooh
Atukinge yahilahi tuwe Salama aah
Atuepushe na mabaya ya wengine
Maana najiona
Nachanganyikiwa ooh nyikiwa
Ndaama nanonaa
Nanyonyeshwa Maziwa ooh maziwa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
ALIKIBA
Tanzania
Ali Saleh Kiba, better known by his stage name AliKiba, is a Tanzanian recording artist, singer-song ...
YOU MAY ALSO LIKE