Home Search Countries Albums

Uno Lyrics


Sitaki team team kiteam team
Kichwani amenipanda kitim tim
Mwenda wazimu nawapigia simu
Mi ndo mganga najiganga mi ndio mizimu

Hakuna mziki ni makiki umbea tu
Wanarogana pande piki na viatu
Hakuna city hili ni game la wawili tu
Juzi juzi kaongezeka watatu

Uno, everywhere nami nimo
Hii maneno miuno 
If you don't know now you know
Namo ni mingi

Vijembe vigingi
Hakuna cha msingi
Hakuna shilingi
Kuku chinji brother
(Hehee yeah baba)

Sitaki team team kiteam team
Sitaki team team kiteam team
Sitaki team team kiteam team
Sitaki team team kiteam team

Sitaki team ni mawenge
Bando linaisha tu kwa u**
Wanabishana kina mama vigenge
Na michambo ya Insta viwembe vijembe

Na ni bora ving'ora mabody guard
Ishakuwa ni vita ni bora ya majimaji
Wanatuchora watrend by ishirini idadi
Nakula vijola na Mola bado mpaji

Sitaki team nishasema
Hawa wadada waigiza sinema
Huku Wolper kule Wema
Na Mange Kimambi ndo nyota ile njema

Mara Konki, fire
Mama alisema dudu baya
Softi softi wanagawa
Wana kiki na bikra ni mda kihaya

Sitaki team team kiteam team
Sitaki team team kiteam team
Sitaki team team kiteam team
Sitaki team team kiteam team

Ya mla Bongo bana
Hautoki bila kiki
Na kutoka ni mziki
Fua nguo ndo uhiti

Its Chemical 
Wacha tukaze mwenzangu
Ahaha I got more many
Wanamuita Black Culture
We be killing dem

Hatutaki kubattle battle
Mi sitaki kubattle na team zenyu bana

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Uno (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CHEMICAL

Tanzania

Claudia Lubao better known as CHEMICAL is a female rapper from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE