Maghetto Lyrics
Aaahhh uuuhh wuwuuuuh
Aaah mammmmm
Naishi mageto ya wanangu
Sina chochote sina kwangu
Nahangaika nipate kwangu
Jua na mvua vyote vyangu
Mi mwenyewe sina pakukaa
Halafu ndio unataka uje dar
Mara kwa mara huwa nalala njaa
Nitakulisha ninii?
Ndio nahangaika nisaka chapaa
Vumilia punguza lalama
Ukiona mwanaume analala njaa
Ujue mambo ya naenda mramaa aaaa ah ah ah ahh
Naranda randa huku na huku
Nausaka umaarufu
Mama michu nae anataka kuja huku
Maisha magumu nitawalisha nini?
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Mafanikio yanakuja kwa muda
Sio ninaopanga mimi anaopanga muumba
Usidhani nimegeuka yuda
Nimefanikiwa nimekusahau mchumba
Najua unataka kuja kunisalimia
Ghetto lenyewe tuko watu zaidi ya mia
Afadhali tunapata pakupumzikia
Ila mungu wetu yupo atatujalia
Subira hijawahi mtupa mtu
Usije ukaolewa nikaambulia patupu babe
Nakumbuka niliacha vikuku
Kamata chinja kula mi nishibe huku
Naranda randa huku na huku
Nausaka umaarufu
Mama michu nae anataka kuja huku
Maisha magumu nitawalisha nini?
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
Naishi mageto ya wanangu (maghetto)
Maghetto yawanangu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Maghetto (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE