Papara Lyrics

Nilishatendwa nikasema mbona freshi
Sema shobo nikashoboka akaniseti
Nikaumizwa nikalia akanipeti
Moyo ukadunda kifuani kitenesi
Akili sina nika-fall in love again
Nikala shida nikawanga fuck the pain
Na home shida za mawifi fuck mashemu
Maana alinitoa chambo brother is game
Nilimpa kila kitu changu
Akicheka ninasmile
Afu furaha kwangu
Kanga moko nikasasambu
Akanikula kama fisi na tamaa yangu
Kijana anakula hatosheki
Napiga simu anapokea haeleweki
Akawa adimu namsoma hasomeki
Mapenzi hakuna real dada ni fake fake
Ninakesha na kuwaza
Kujitoa akanimwaga
Sina kitu sina swagger
Bado ninakaza japo maumivu
Papara, papara sina sina
Papara, papara, hey
Papara papara sina sina
Papara, papara
Papara, papara sina sina
Papara, papara, hey
Papara papara sina sina
Papara, papara
Natulia tuli tuli kama maji
Haya mapenzi yasije yakaniletea maradhi
Yakanikula na kukausha kizazi
Ukanizika nikaoza wazi wazi
Sasa basi atakuja kwa wakati
I wish lini labda hapa katikati
Anipe moyo na anipende pia kwa dhati
Sio kiasi akakaza akala bati
Zile! Sitaki stress na mateso
Zile! Nagonga hodi hayupo geto
Zile! Nalipa kodi lala depo
Mwana yupo ndani mabeiby anakula upepo
Zile! Nataka atakae nipenda bado simpati
Zile! Ninaempenda hanipendi na hanitaki
Zile! Mawazo mbovu labda sinaga bahati
Mapenzi harakati ila moyo umekosa
Papara, papara sina sina
Papara, papara, hey
Papara papara sina sina
Papara, papara
Papara, papara sina sina
Papara, papara, hey
Papara papara sina sina
Papara, papara
Where is my man yoo
Where is my honey njoo
Bila weeh ni presha nakesha na we
Where is my man yo
Where is my honey njoo
Bila weeh ni presha nakesha na wee...
Papara, papara sina sina
Papara, papara, hey
Papara papara sina sina
Papara, papara
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Papara (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
CHEMICAL
Tanzania
Claudia Lubao better known as CHEMICAL is a female rapper from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE