Sawa Lyrics

Mmmh...mmmh mmm aah aah.
Ooh aah..
(It's D Classic)
Hello vipi hali yako?
Maana mi kwangu si shwari
Mawazo mengi ju yako
Mmmh hello vipi huyu mwenzako?
Bado mi kwangu sing'ari
Sijampata mwenzako
Na upe amani moyo wangu
Kwa hayo majaribu tu
Kula mbivu yahitaji uvumilivu
Bila ya kuchoka mama
Maana malengo yangu
Sikuwaza watanipiku
Ooh wezangu, vigogo wa mjini
Wanaojiita vipopa, ooh mama
Maana bado sipo (Sawa sawa)
Aaah, sawa!
Akili haipo, sawa!
Mwili haupo, sawa!
Uchovu muda wote
Bado sipo (Sawa sawa)
Oooh mimi, sawa!
Mi mwenzako, sawa!
Maumivu sana hapo ndani
Na moyo ndo unaokabiliana
Mapenzi yataka ujasiri
Kwa kiini lakini si shilia
Ooh maana hata chakula hakipiti
Mawazo juu yako
Yanakabili moyo wangu tu
Oooh mapenzi kila siku nang'ang'ania
Ungeniweka tumaini na utu kwako
Na sikujua kama si mrengo wako
Muda wangu kutumia tu
Huwezi hata jutia
Tena tatizo pendo bado lipo kwako
Utafurukuta ila mwisho wangu kwako
Mi nabaki vumilia tu
Kusubiri uwe wangu
Mwenzako bado sipo (Sawa sawa)
Aaah, sawa!
Akili haipo, sawa!
Mwili haupo, sawa!
Uchovu muda wote
Bado sipo (Sawa sawa)
Oooh mimi, sawa!
Mi mwenzako, sawa!
Nitagonga ngongo
Mpaka mwisho kwako
Nitasubiria tu tu
Nitasubiria tu tu
Nitasubiria tu tu
Ooh maana sina chaguo
Zaidi ya wewe yako mama
Nitavumilia tu tu
Nitasubiria tu tu
Nitavumilia tu tu
Nitagonga ngongo
Mpaka mwisho kwako
Nitasubiria tu tu
Nitasubiria tu tu
Nitasubiria
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Sawa (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BARAKAH THE PRINCE
Tanzania
Baraka Andrew Odiero better known as Barakah the Prince, is a singer and songwriter from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE