Ndoa Lyrics

Umenitosha tosha
Mama umeniburuza buruza
Kina umenitoza toza
Sarafu umenigeuza geuza
Sijui nikupe zawadi gani
Ama nikuletee kidani aah
Hapa wametupa jiwe gizani
Mungu atuepushe shetani aah
Penzi langu nilitetee isiwe gungu linipotee
Honey umebeba roho yangu
Hata kama nikifa tuzikwe wote
Baby nipe some more (Aah)
Sweet teamo (Iyee)
Ooh baby give me some more
Yaliyomo yamo tuwafunge mdomo
Tuzidishe kipimo (Iyee)
Huo ndo mtazamo tutazibe mashimo
Bado ubani wa ndoa (Ndoa)
Tunasubiri ndoa (Ndoa)
Ya halali ndoa (Ndoa)
Nimelipata chaguo (Ndoa)
Nooo (Ndoa)
Nimevulia nguo (Ndoa)
Aaah (Ndoa) owoohoo
We ndo nuru yangu niagizie
Mtima usijali panga
Wama fugo nyota ukaja kuizima
Kwa kudra zake Mungu akujalie uzima
Sina haraka unipelele nyumbani
Hata tushinde njaa (Aaah)
Penzi hanaga kinyongo
Kagizoelea kini njani njaa
Huwaga hanaga lomgo longo amezoea
Baby nipe some more (Aah)
Sweet teamo (Iyee)
Oooh baby give me some more
Yaliyomo yamo tuwafunge midomo
Tuzidishe kipimo (iyee)
Huo ndo mtazamo tuyazibe mashimo
Bado ubani wa ndoa (Ndoa)
Tunasubiri ndoa (Ndoa)
Ya halali ndoa (Ndoa)
Nimelipata chaguo (Ndoa)
Nooo (Ndoa)
Nimelivulia nguo (Ndoa)
Aah (Ndoa), owohoo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Ndoa (Single)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
CHEED
Tanzania
Cheed is an artist from Tanzania signed under Konde Music Worldwide by Harmonize. He was formerly si ...
YOU MAY ALSO LIKE