9 December Lyrics
Tisa Desemba mwaka sitini na moja
Utumwa umeishia
Sasa tuko huru tena bila kungoja
Mambo kujifanyia
Nyerere, Nyerere Baba
Tunasonga mbele, mbele sana
Tumetoka kwa hiyo jinga
Na mabavu ya utumwa
Leo hakuna wa kupinga
Na haturudi nyuma
Mbele kwa mbele
Mbele, mbele mbele
Mbele kwa mbele
Mbele, mbele mbele
Tisa December
Na uhuru oyee(Oyee)
Tisa December
Na amani oyee(Oyee)
Tisa December
Na uhuru oyee(Oyee)
Tisa December
Na amani oyee(Oyee)
Damu haikumwagika
Uhuru bila vita
Amani uhakika
Kwetu Tanganyika
Ndio maana natamba, najigamba
Najivunia kwetu Tanzania
Tulikata kamba ya utumwa
Kifua mbele tukaiona njia
Tukaoiona njia
umetoka kwa hiyo jinga
Na mabavu ya utumwa
Leo hakuna wa kupinga
Na haturudi nyuma
Mbele kwa mbele
Mbele, mbele mbele
Mbele kwa mbele
Mbele, mbele mbele
Tisa December
Na uhuru oyee(Oyee)
Tisa December
Na amani oyee(Oyee)
Tisa December
Na uhuru oyee(Oyee)
Tisa December
Na amani oyee(Oyee)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : 9 December (Single)
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE