Home Search Countries Albums

Missed Call

BREEDER LW

Read en Translation

Missed Call Lyrics


Eeh Bazenga

Sitaki ma missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
(Mavo on the Beat)

Si uongo napenda wasichana
Niko lodgo na bibi ni wa Allan
Ju ni morio after this ni lawama
Na sitakima missed call bana

Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Na sitaki ma missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana

Simu flight mode, siko
Patana na msupa hapo kwa inbox
Ashasema ati Fadhela si tu link up
Nayo nayo nikamsho io ni simple
Next day hizo ma vida asha repost 
Hapo hapo kwa Edgar Obare ndio ziko
Ndio maana chali yake ako pissed off
Na Mechi ilishaanza kabla kick off
Lakini buuudaa, please note
Huyu msupa alinimada na mastingo
Alinivua trao ,boxer na ma reebooks
Nashindwa ni uchawi ama alizaliwa ivo
Hah!!
Hii Nairobi chunga bibi
Kuna ma fisi, ma gyallis ma gwiji
Na ukitokwa usiingize baridi
Ni kawaida ni tabia za jiji

Si uongo napenda wasichana, 
Niko lodgo na bibi ni wa Allan
Ju ni morio after this ni lawama
Na sitakima missed call bana

Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Na sitaki ma missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Ntazima simu ndio asipige pige sana
Na sitaki ma missed call bana
Ntazima simu ndio asipige pige sana

Sijaijua kumbe Allano ni FBI
Ameni ambush ,ki ghafla nisi try hide
Lakini nishapanda mbegu sa in case I die
Me ni Bazenga daddii Ntago down in style
Maswali mob
Ati Breeder mbona umezima line
Na uko hapa lodgo unanilimia wife
Me siamini ati we ni morio wa mine
Na leo ni leo na hautoki hapa alive
Natetemeka mbele ya itoka unaeza zirai, aii
Na siezi fly, saa hii kwa hii scene ya crime, aii
Ashai ki cock,ashanipiga na bye bye
Wife yake ni manduru aki wika gai gai 
After trigger kuipresss, Ndeng'a ikajam
Me ni nani hapo kwa window, si nika jump
Mguu niponye ,natoka siaka me niki run
Mungu asanti acha leo me nika some Psalms

Si uongo napenda wasichana
Niko lodgo na bibi ni wa Allan
Ju ni morio after this ni lawama
Na sitakima missed call bana

Si uongo napenda wasichana
Niko lodgo na bibi ni wa Allan
Ju ni morio after this ni lawama
Na sitakima missed call bana

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Missed Call (Single)


Copyright : (c) 2020 TK- Tough Klan


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BREEDER LW

Kenya

Paul Baraka, known by his stage name Breeder LW, or Bazenga Dadii/ Papa Fathela is a kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE