Sina Makosa Lyrics
Hasira za nini we mama
Hasira za nini we mama
Wataka kuniua bure mama
Wataka kuniua bure mama
Sifanyi bure,sitatulia
Kazi pesa ninayo familia nzuri tunayo we
Kwa hivyo sina makosa we mama
Sina makosa we mama
Wataka kuniua bure mama
Wataka kuniua bure mama
Yule hayupo,kwangu hayuko
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Yule si wangu,aki si wangu
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Nina sababu ya kukupenda
Nawe wataka kunilenga
Weka utu ndani yako
Siwezi taka toka kwako
Sitakubali uniwache we
Njoo nyumbani nikuone we
Aki kubali wewe nikufuate mimi
Sitatulia bratha man
Rudi kwangu tuweke amani
Eti mapenzi kitu gani
Nakuhitaji wewe
Kwa hivyo sina makosa we mama
Sina makosa we mama
Wataka kuniua bure mama
Wataka kuniua bure mama
Yule hayupo,kwangu hayuko
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
Yule si wangu,aki si wangu
Chuki ya nini kati yangu mimi na wewe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Sina Makosa (Single)
Added By : Brayan Chosen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE