Just a Way Lyrics
Still Alive
From the first day I met
You Sijawai lala njaa umenishughulikia
From the first day I met you
Sijalala na kiu umekua maji ya Uzima
From the first day I met you
Sijapigwa na baridi Blanketi umenipa
From the first day I met you
Umenipenda mambo yangu mengi
Ulinipenda kwanza kabla nikujuee eeeeh
Ulinipenda kwanza kabla nikupendee
Nilipokujua hapo ndipo nilipotambua
Nitakuinua pendo la kishua nami naamua
Nitakupenda pia
It is just a way a way to show how much I love you
Njia ya kusema jinsi Mimi ninavyokupenda

Adui wewe umekua kizuizi maishani
Unataka Nikose Mimi taji ya Uzima
Adui wewe Ulishindwa miaka yamepita
Aliposema Yote yamekwisha pale msalabani
Eloiii Eloiii
Yamasabaki
Mawe walitupa ,mate wakatema
Ili nipate Uzima Uzima uuuuh
It is just a way a way to show how much I love you
Njia ya kusema jinsi Mimi ninavyokupenda
It is just a way a way to show how much I love you
Njia ya kusema jinsi Mimi ninavyokupenda
It is a way for me to show you I love you
Eeeeeeiii yeaahh
Nakupenda wewe Bwana
It is just a way a way to show how much I love you
Njia ya kusema jinsi Mimi ninavyokupenda
It is just a way a way to show how much I love you
Njia ya kusema jinsi Mimi ninavyokupenda
It is just a way a way to show how much I love you
Njia ya kusema jinsi Mimi ninavyokupenda
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2013
Album : Just a Way
Copyright : ©2013
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE