Home Search Countries Albums

Always

MESH WALLEN

Always Lyrics

Tulipatana kwenye njia panda
Mimi ninashuka naye anapanda
Mrembo jinsi ya kifaranga
Mkenya sura ya mfaransa

And then tukabonga akanipa namba
Kila time eti nambamba
I didn't even know that she wasn't serious
She didn't even know that I wasn't furious

Tukaongea siku mbili tatu
Eti ameishi single kwa miaka tatu
Nami nikajua nishapata wangu
I love you for life yeah

Tena nikaapa sitamuacha katu
Nyuma alivyoshona ni kama matatu
Wacha mi niringe nishapata wangu
Akawa ndio life yeah yeah yeah

But you are always on my feet, always on your knees
Always sina peace cos you are always on my back
Always you are begging then you are repeating
Cheating is freaking I'm tired of forgiving

You are always on my feet, always on your knees
Always sina peace cos you are always on my back
Always you are begging then you are repeating
Cheating is freaking I'm tired of forgiving yeah

Mawazo yako bado yako kichwani
Na picha zako bado sijafuta mi
Taswira yako huja hata gizani
Shida yako huwa hunijali mi

Mawazo yako bado yako kichwani
Na picha zako bado sijafuta mi
Taswira yako huja hata gizani
Shida yako huwa hunijali mi

Sitakudanganya, sitakuchanganya
Mpaka sai ni we tu mi hupea lawama
Vile ulifanya life ikuwe na madrama
Nafika kejani napata ulihama

Baby, I thought it was for life
Na mpaka sai mi hufeelingi niko right
Or maybe haukuwa ukuwe wife
Ju vile kila time tulishinda tukifight

Ukajifanya hunimiss, ukajifanya we ndo miss
Mitaani unapita usiku usiku na kamis
Mbona hukuniambia huwa hukuniaminia
Sasa unanifanya kama mtoto ninalia

But you are always on my feet, always on your knees
Always sina peace cos you are always on my back
Always you are begging then you are repeating
Cheating is freaking I'm tired of forgiving

But you are always on my feet, always on your knees
Always sina peace cos you are always on my back
Always you are begging then you are repeating
Cheating is freaking I'm tired of forgiving yeah

Always you are begging
Then you are repeating
Cheating is freaking
I'm tired of forgiving

Always you are begging
Then you are repeating
Cheating is freaking
I'm tired of forgiving

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2021

Album : Always (Single)

Copyright : (c) 2021

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MESH WALLEN

Kenya

Mesh Wallen is a Rapper || Singer-Songwriter || Actor  from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE