Home Search Countries Albums

Wana Nini

BEST BOOMER Feat. MSUPA S

Wana Nini Lyrics


 

Aha, alright, yooh
Best, Msupa S, yeyooo
Aah mtoto wa kike
Yoh, alright, aah

Secondary nilisuffer na ma D
Nikijua education is the key
Ila nilijifunza ku dare waliposema ri
Wakataka niwe dem nikifight niwe me

Kumbe maisha kadanda
Kila mtu anaomba pasi
Walipenda sana vibaya kunidiscuss
Hata wema nikitenda kwao napata low marks
Hawakuimagine mimi niko kwa high ranks
Leo natafutwa na vijana kama six packs
(msifu anayekukimbiza wewe)

On your marks (no)
Miaka mingi ya maombi leo Boom
Walio turn haters nawazoom
Sifa moja binadamu, ni mwenzake kumbukumbu
Palipo na uongo, napretend ku assume
Binadamu makaa, asipokuunguza atakuchafua
Better believe, mkono hauziki jua

Wakubali wakatae, eeh eh eh eh
Itafika one day, eeh eh eh eh
Ah wana nini hao? mmmh na mimi
Mbona daily majibizano aaah na mimi
Ah wana nini hao? mmmh na mimi
Mbona daily majibizano aaah na mimi

Walinichinja na visu za siagi
Vinyonga walibadilika rangi
Walitaka kunibeba mgongoni ka bagi
Sikia utundu wangu si lazima bangi

Ati wakale ni wakimbiaji si wanamuziki
Msupa S si mwimbaji ni kiki
Already God, ashaniwekea tiki
Super striker kwenye yao ligi

Am busy on the run
Niko top, wako down
Only one on town
I can never bow down, yeah

Am busy on the run
Niko top, wako down
Only one on town
I can never bow down, yeah

I can never bow down, yeah
I can never bow down
Only one on town, yeah
Only one on town

Wakubali wakatae, eeh eh eh eh
Itafika one day, eeh eh eh eh
Ah wana nini hao? mmmh na mimi
Mbona daily majibizano aaah na mimi
Ah wana nini hao? mmmh na mimi
Mbona daily majibizano aaah na mimi

Wakubali wakatae, eeh eh eh eh
Itafika one day, eeh eh eh eh
Ah wana nini hao? mmmh na mimi
Mbona daily majibizano aaah na mimi
Ah wana nini hao? mmmh na mimi
Mbona daily majibizano aaah na mimi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Wana Nini (Single)


Copyright : All rights to the owner.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BEST BOOMER

Kenya

...

YOU MAY ALSO LIKE