Home Search Countries Albums
Read en Translation

Raha Lyrics


Baby you can lean on my shoulder 
(Vicky pon Dis)
Everytime you ah feel low low
Baby you can call me your soldier
Stataka nikuwche we solo

Mapenzi matamu bana
Sijazoea kubembelezwa
Unavyondekeza bwana
Mmmh

Tupendane nkupe wana
Kila Safari na Lola wakuite 
Na wewe baba
Mmmh

Ni vingi tumepitia
Matusi na wivu nimejionea nikavumilia 
Jina na pesa nilizopata 
Na mimi nikakuvimbia 
Ila kwako sitoki 
Nishapata wakufa kuzikwa 
Mwenzangu kwa kweli siondoki

Jamani kupendwa raha (Raha)
Kupendwa nawewe Ali
Kupendwa raha (Raha)
Isiyo pitiliza

Jamani kupendwa raha (Raha)
Kupendwa nawewe sherii 
Kupendwa raha (Raha)
Eey ooh

Love is a beautiful thing
Ukipata unaye mpenda 
Walaai is a wonderful thing, baby mmh
Nadia my my beautiful thing ooh

Kwa penzi lalo Mimi nimeloa
Ndakukunda my beibii uuuuh eeeeh
Forever my baby aah 
Tofauti zetu tuziweke kando 
Ukiniacha nitadedi aah, baby iyoyo

Milima na mabonde aah 
Nimepanda nikashuka
Bado mi narudi kwako aah
Mi Nadi kwako baby

Jamani kupendwa raha (Raha)
Kupendwa nawewe sherii 
Kupendwa raha (Raha)
Eey ooh

Jamani kupendwa raha (Raha)
Kupendwa nawewe Ali
Kupendwa raha (Raha)
Isiyo pitiliza

Baby you can lean on my shoulder
Everytime you ah feel low low
baby you can call me your soldier
Stataka nikuwache we solo

Jamani kupendwa raha (Raha)
Nadia nikumbatie
Baby kupendwa raha (Raha)
My mama mama ma 
Vile menapendwa (Raha)
Baby tease me, tease me baby
Raha isiyo pitiliza

(Vicky Pon dis)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Raha (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ARROW BWOY

Kenya

Arrow Bwoy real name Ali Yusuf born born May 26th in Huruma Nairobi Kenya,  is a Keny ...

YOU MAY ALSO LIKE