Home Search Countries Albums

Mungu Amenitendea

BENJAMIN WESTON

Mungu Amenitendea Lyrics


Mungu amenitendea
Mungu amenitendea
Kabadilisha jina langu
Kanivika utukufu
Mungu amenitendea

Mungu amenitendea
Mungu amenitendea
Kabadilisha jina langu
Kanivika utukufu
Mungu amenitendea

Mungu amenitendea
Mungu amenitendea
Kabadilisha jina langu
Kanivika utukufu
Mungu amenitendea

Mungu amenitendea
Mungu amenitendea
Kabadilisha jina langu
Kanivika utukufu
Mungu amenitendea

Huzuni gani hawezi ondoa
Dhoruba gani hawezi tuliza
Nilimuomba jambo moja 
Kanijibu na mengine 
Mungu amenitendea

Hajachelewa hajawahi amekuja
Amenijibu nisivyotaraji
Amenitenda kwa ukarimu
Macho yangu yameona 
Mungu amenitendea

Mungu amenitendea
Mungu amenitendea
Kabadilisha jina langu
Kanivika utukufu
Mungu amenitendea

Mungu amenitendea
Mungu amenitendea
Kabadilisha jina langu
Kanivika utukufu
Mungu amenitendea

Jina langu si kama lile la kwanza
Mambo yangu si kama yale ya kwanza
Sasa ninaitwa mbarikiwa
Nimefanyika mwana kwa jina lake 

Mungu amenitendea
Mungu amenitendea
Kabadilisha jina langu
Kanivika utukufu
Mungu amenitendea

Mungu amenitendea
Mungu amenitendea
Kabadilisha jina langu
Kanivika utukufu
Mungu amenitendea

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 0


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BENJAMIN WESTON

Tanzania

Benjamin Weston is a gospel artist from Tanzania. He is the founder of Imela Concerts. ...

YOU MAY ALSO LIKE