Home Search Countries Albums

Nawaza Lyrics


Nawa nawa, nawa nawa, nawa nawa
Nawaza tu
Nawa nawa, nawa nawa, nawa nawa
Nawaza tu

Nawaza pru mpaka maka Ruge amerudi tena
Je kwa huu mziki wa sasa sijui nini angesema
Na nimejifunza binadamu kweli hawanajema
Yani mtoto unaemtunza ndio anakuombea ukilema nashangaa
Nawaza Vanny na Elizabeth clip zao zikivuja
Ndoa itaimarika eti au ndio ataivunja
Nawaza muchana,usiku jibu halifiki
Wanaonitukana, tuna beef au ilimradi kiki
Nawaza hawa kina Kimambi bwana wangekuwa wagawa ridhiki
Hivi kweli ningejulikana si wangenizima sisikiki
Nilowaza leo nishawaza sana, mi na Kiba ugomvi kipi
Nikagundua ni ushamba na ujana wakugombania mashabiki

Nawa nawa, nawa nawa, nawa nawa
Nawaza tu
Nawa nawa, nawa nawa, nawa nawa
Nawaza tu

Oooh nawaza
Huenda Steven Kanumba angelikuwepo hai
Nawaza movie zetu pia tungejidai
Nawaazaa hivi kombe la dunia hatufikagi why
Nawaza, tatizo ni team au uongozi haufai
Mawazo mengine mtanange bora tuache yataleta ukakasi
Je angekuepo Muzee Nyange, Uncle Shamte angepata nafasi
Nawaza ka ngеkua na Wema Sepetu hadi lеo
Sijui ngekua nshafulia au zaidi maendeleo
Ooh nawaza siku nikifa sijui wasafi itakufa
Nawaza sijui maradhi ama ajali itanikuta
Nawaza oh Mama Dangote nani chozi atamfuta
Nawaza sijui nyimbo zangu watazikumbuka
Nilowaza leo nshawaza sana ninachoshindwa kuwa kipi
Nikagundua naepusha lawama maana najijua kwa kucheat

Nawa nawa, nawa nawa, nawa nawa
Nawaza tu
Nawa nawa, nawa nawa, nawa nawa
Nawaza tu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : First Of All (Album)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

DIAMOND PLATNUMZ

Tanzania

Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...

YOU MAY ALSO LIKE