Home Search Countries Albums

Pumzika Salama

BEKA FLAVOUR

Pumzika Salama Lyrics


Kapumzike salama
Salama salama salama 
Salama salama
Kapumzike salama

Ulidumisha Uhuru
Upendo na mshikamano
Ukweli na uwazi Daima
Hatuezi kukudhuru
Limetimia agano
Alama ulilowacha kubwa sanaar
Watanzania tutakukumbuka Daima

Mmmhhhh 
Kama ndoto ghafla umetuacha
Umetangulia na sisi tumekuacha
Pumzika Salama
Salama Salama salama
Salama Salimini

Siwezi kumaliza sifa zako kwa Dunia
Tanzania litakumisi
Umewaacha wapweke
Na Magufuli wanakulilia
Kama ndoto ghafla umetuacha

Umetutangulia na ukatuacha
Pumzika Salama salama Salimini
My life my purpose
Ni funzo la Kitabu Chako
My life my purpose
Ni urithi kutoka kwako

Salama salama Salimini
Salama salama Salimini
 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Copyright : ©2020


Added By : Its marleen

SEE ALSO

AUTHOR

BEKA FLAVOUR

Tanzania

BEKA FLAVOUR  real name Bakari Katuti is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE