Home Search Countries Albums

Furaha Lyrics


Hmmm....aaahhh...

Furaha yangu
Bila kupitia maumivu ingesua sua sana
Maana maumivu yamefanya nijifunzee eeh
Uzuri mungu si mtoa ubaya
maumivi nilipitia na pumzi a alinipa
na mtoto wa juma si unajua
Maumivu  kupita wajibu imeandikwa

Uyee... nikiiumbuka maumivu yako ni funzo
Siwezi juta
Japo mabaya niliyoyapitia yanaumiza na nimeyasahau
Isingekua maisha huenda baby usingenitoka
Ila Mungu sio Athumani  alinipa
Mwenye nmani mvumilivu
kwa kila hali

[CHORUS]
Yaani leo (sasa ninayo furaha)
Ona furuha (sasa ninayo furaha)
Nakupenda najua (sasa nina yo furaha)
Uyeee mama sichoki kugamba (sasa ninayo furaha)
Kwa uzuri wake (sasa ninayo furaha)
iyeye hii nilie na ye ye

Kwanzo huyu wa sasa ni best
Mi nampenda Mpaka nahisi kwake crazy yeah
Na bado nyumbani ni mlezi
Ukitaka kuja ntakulipia tax
Kuna ma shampeini tuliza na woga
Ukitaka kuja mama unakaribishwa
Si tunafurahia maisha  Zawadi watoto tatu Mungu alitupa
Uyee ikiwa magumu twajipanga
Midadi sheri na raha
waga haendi kwa mgaga
Yakitukuta waga anamuomba muumba
Iye ee yeah yeah
Iye aaah am in love with you my baby
Boo nime surrender
Am crazy of you

[CHORUS]
Yaani leo (sasa ninayo furaha)
Ona furuha (sasa ninayo furaha)
Nakupenda najua (sasa nina yo furaha)
Uyeee mama sichoki kugamba (sasa ninayo furaha)
Kwa uzuri wake (sasa ninayo furaha)
iyeye hii nilie na ye ye

 

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Furaha (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

BARAKAH THE PRINCE

Tanzania

Baraka Andrew Odiero better known as Barakah the Prince, is a singer and songwriter from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE