Home Search Countries Albums

Chura

BALAA MC

Chura Lyrics


Di blo one touch

Vindege john wamepata style kuu
Mbona siku hizi wanacheza kichwa chini miguu juuu baba
Vindege john wamepata style kuu
Mbona siku hizi wanacheza kichwa chini miguu juuu baba

Nipe nipe nipe nipee tenaa
Bado bado bado bado sijaona
Basi Jamani chura we umemuona chura dada chura we umemuona chura
Jamani chura we umemuona chura dada chura we umemuona chura
Hi inakuja na kiuno gani mbona hatari
Mbona anakizungusha kama feni yaani hafai dada
Love tz ana kiuno gani mbona hatari
Muone anakizungusha kama feni yaani hafai dada
Sijui kabila gani mi nahasi mpaganii yaani
Sio powa anavyocheza chura humo ndani
Sijui kaja nani jamani hyu chura wa nani
Maana anacheza chura kama amepandwa
Na maruwani oya basi

Nipe nipe nipe nipee tenaa
Bado bado bado bado sijaona
Basi Jamani chura we umemuona chura dada chura we umemuona chura
Jamani chura we umemuona chura dada chura we umemuona chura

Jamani huyu dada anacheza chura sio mchezo
Ona kaingia kati kule kaanzisha mizozo Kwa
Masela nasikia anacheza chura sio mchezo
Ona kaingia kati kule kaanzisha mizozo kwa masela
Kila mtu anatapa eti ye ni demu weke huyo
Chajola anatoa namba chura hataki uyo
Nyonyoki kaanzisha zogoo ni demu wake uyoo
Father erick anatoa namba chura hataki uyo
Masojo anaye anatamba ni demu wake uyoo
Father erick anatoa namba chura hataki uyo
Wacha bariiaaaaaaa
We dada unachezaje mguu mmoja kushoto mwengine kulia
Fanya kama unainama unaichunguliaa
Hunioni kwa mbele mi niko nyumaa
Mwanaume nilivyotulia nimesimama wimaa
Jamani kumbe chura chura kisingeli
Ukimkuta kwenye dundo yupo kati haelewii
Muone kwanza miguu vumbii atulii kama kumbi kumbii
Kutwa kuzurura mitaani na makundiii
Oyaaa wee kumeajaaa uchafuu anatuzinguaa
Izo zarau mwambie anaturushiaa tutamkaata
Kumeajaaa uchafuu anatuzinguaa eeehhh
Izo zarau mwambie anaturushiaa tutamkaata

Watoto wa mabande black saniii Nakubali
Watoto wa charambe teminaryy
Watoto wavikindu mpaka sowetooo ehh
Nakubali sana watoto wa kisemvule kijiwe jauu

Wanangu unamuachaje acheze mwenyewe mshikilie kwa nyumaa
Mshikilie mbishi ubishane hata akikusukumaaa
We dada nakubambia hata ukinunaa
Sibanduki sichomoki nakamatiiaa tibuduu mpaka chini nakwenda nae basii
Akirudi mpaka juu unarudii ndio ubiingwa
Akienda mpaka chini nakwenda nae basii
Akirudi mpaka juu unarudii ndio ubiingwa
Ndio umeng'ang'ania
Acha bariaaaaaaaa aaahhh balaaa mc 26 kipaji ehee
Nikiwa vibe record eeehhh Nikiwa na diblo one touch
Nakubali san tema ile ile 26 kipajii ehh
Meneja small daf Watoto wa mbagal kinondoni mpaka ilala
Watoto wachanika nakubali wa toto wa bad hunterz
Mtaaa wa mb ooo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Chura (Single)


Added By : Baraka Mkande

SEE ALSO

AUTHOR

BALAA MC

Tanzania

Balaa MC  is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE