Home Search Countries Albums

Unarudi Lini?

BAHATI

Unarudi Lini? Lyrics


Unarudii lini niambiee
Ninayo mengi nikwambiee
Unarudi lini Yesuu mmhh
Ni miaka tangu uende
Nimekungoja tangu
Naye ni miaka tangu uondoke
Nasoma kwa vitabuu aaahh

Nchi ya furaha, na nikikosa taabu aah
Nilikungoja tangu enzi za babu aah
Nchi ya furaha, na nikikosa taabu aah
Nilikungoja tangu enzi za babu
Nimewatuma wengi
Eti nenda kamwambie
Wazee wakanisa anagalau usikie aah
Nimawatuma wengi walioenda aaoo
Kyalo wa kamundia, habari ikufikie

Unarudii lini niambiee
Ninayo mengi nikwambiee
Unarudi lini Yesuu mmhh
Unarudii lini niambiee
Ninayo mengi nikwambiee
Unarudi lini Yesuu mmhh

Uje tuende maskani
Nikupeleke nyumbani
Nikupe story za ghetto daddy aah
Uje uwajue wenzangu
Mashabikii zangu
Ulionipa wasimame namii aah
Nina maswali, moja mbili
Nina maswali, nijibuuu hiviii aah
Mama kaonduka, badoo sijakua star
Sijaanza mzikii
Nikatoa nyimbo mamaa
Nikavuma mjini
Mama kaonduka, badoo sijakua star
Sijaanza mzikii
Je ukija bado nitakua star
Anione nikinawiri

Unarudii jinni niambiee
Ninayo mengi nikwambiee
Unarudi lini Yesuu mmhh
Unarudii jinni niambiee
Ninayo mengi nikwambiee
Unarudi lini Yesuu mmhh

Naomba usije Friday
Wenzangu wengi wako majii
Angalau iwe Sunday
Situmetoka kanisanii toka kanisanii
Weno… sato
Siku ya sabato
Niibie sirii, unarudiii iiniii

Unarudii jinni niambiee
Ninayo mengi nikwambiee
Unarudi lini Yesuu mmhh
Unarudii jinni niambiee
Ninayo mengi nikwambiee
Unarudi lini Yesuu mmhh

Mathew 24.29
And after the tribulation of those days
Shall the sun be darkened
And the moon shall not give her light
Mtu wangu
Hii wealth name of fame
Zitapass away
Akikuja kutuchukua, swali
Ni wapi roho yako itakua

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Unarudi Lini? (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BAHATI

Kenya

BAHATI is a Gospel singer & entrepreneur from Kenya. He is also the CEO of EMB(Eastlands Most Be ...

YOU MAY ALSO LIKE