KooKoo Lyrics
Na nimego koo koo, koo koo for your love

Hii si about vile unakaa
Wala si about vile unavaa
Ni about vile unanifaa
Unavyonipa love yeah yeah
Si about vile una chapaa
Gari ama ile nyumba unakaa
Ni about vile unanifaa
Unaponipa love yeah
Nimekuonyesha mahaba usinieke parking
Unajua nakupenda
Nimekunoki kifala kichizi flani
Unajua nakupenda aah
Umenionyesha mapenzi sikueki parking
Unajua nakupenda
Nimekunoki kifala kichizi flani
Unajua nakupenda aah
Na nimego koo koo, koo koo for your love
Na nimego koo koo, koo koo for your love
Na nimego koo koo, koo koo for your love
Na nimego koo koo, koo koo for your love
You're the best and nobody can contest you
Naeza piga wanaume kumi for your case
You're the best and nobody can contest you
Naeza piga wanawake kumi for your case
For your love am going koo koo
Am going koo koo, am going koo koo my hunnie
Hii mapenzi ni kama juju, ni kama juju
Ni kama juju jamani

WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : KooKoo (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
HOPEKID
Kenya
Hopekid HK (The General) is a dancehall recording artist based in Nairobi Kenya. ...
YOU MAY ALSO LIKE