Fikra za Bahati Lyrics
Mamako akinipenda niite baba wa kambo
Wasanii kwa uwanja nadeal nao ki Rambo
Uliza Sauti Sol founder wa kufungua label
Wakati wanasign nishadismiss kitambo
Mziki sio kiki makali kama panga
Mwisho wa maneno Ringtone nakuvisha kanga
Pole Octopizzo walikuendea Sumbawanga
Mzungu ulipata ukashindwa kujipanga
Sina urafiki wa mtoto peremende
Leo mtajua siri ya kifo cha mende
Mr Omollo kwa gym matembe
Daddy Owen ulitotoa mbaby
Oh kila mtu lele, Oh kila mtu lele
Kwenye beat umeokoka unahubiri
Na ulifanya mimba iwe siri
Mbona yangu ilikuwa hivo nikaitwa kafiri
Na bado mnauliza mbona siko kwa injili
Siogopi mkisema nimeshasikia tayari
Maneno hayaniwezi nimeshakuwa ngangari
Natema wala kwa kila hali na shwari
Muda uko salama ndio wa hatari
Mi ni stima naogopwa kama kifo
Wakiskia Bahati akili zinaingia default
Mi na vibe mi ndio Bob Marley
Bao ya Ronaldo wakojoe walale
Mi ndio bumps mtaslow down
Mi sio wa kukam mi ni born tao
Ni fikra za bahati kwenye love like this
You know fam thank you for the support
But I had to give you my thoughts
Before the big album "Love Like This Album"
Listen to this, stream, wait for this
Best best album "Love Like This"
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Fikra za Bahati (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BAHATI
Kenya
BAHATI is a Gospel singer & entrepreneur from Kenya. He is also the CEO of EMB(Eastlands Most Be ...
YOU MAY ALSO LIKE