Pesa Kidogo Lyrics

Toa toa toa
Toa toa toa
Toa toa toa
Toa toa toa
Nasema Toa toa toa
Toa toa toa
Toa toa toa
Toa toa toa
Nitaji savannah na make up
Nikijichanganya unalipa
Kwenye pochi atazuga ana pesa mingi
Kumbe ana wanja na tissue
Pesa kidogo, anavimba
Pesa kidogo, ati club anaona joto
Pesa kidogo, aah pesa kidogo
Yaani anakubeza
Pesa kidogo, anavimba
Pesa kidogo, ati club anaona joto
Pesa kidogo, aah pesa kidogo
Yaani anakubeza
Order ya msosi anagoogle
Mi sijui nitaongea nini
Mchizi kaanzisha fujo
Varangati kaniachia mimi
Pesa kidogo, anavimba
Pesa kidogo, ati club anaona joto
Pesa kidogo, aah pesa kidogo
Yaani anakubeza
Pesa kidogo, anavimba
Pesa kidogo, ati club anaona joto
Pesa kidogo, aah pesa kidogo
Yaani anakubeza
Niko na Khali mbovu anavimba
Ati msanii anaimba
Mara anajiita simba
Simba msanii, simba Yudah
Pesa kidogo, anavimba
Pesa kidogo, ati club anaona joto
Pesa kidogo, aah pesa kidogo
Yaani anakubeza
Pesa kidogo, anavimba
Pesa kidogo, ati club anaona joto
Pesa kidogo, aah pesa kidogo tu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Pesa Kidogo (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
B2K MNYAMA
Tanzania
B2k Mnyama is a Tanzania artist. He is the C.E.O of Starbeat Records. ...
YOU MAY ALSO LIKE