Home Search Countries Albums

Nauliza

B2K MNYAMA

Nauliza Lyrics


Ok haukua wangu sa kwanini ulitaka nikupende
Nimekuja na mboga yangu umeacha kisu umeikata na wembe
Au tatizo kabila mi mnyalu sitakiwi nipendwe
Yaani umekua rojo rojo we wa wote kila mtu alambe
Basi kama fungu na mi nipe lakwangu uonje uko uje ulale kwangu
We pembua pembua ibaki nafasi yangu kwao pima we ni fungu langu
We kama huwezi nimpende nani aah
Je mapenzi hayana thamani aah
Na kama huwezi nambie hatuendani aah

Au ndo hunitaki (nauliza)
Hunipendi hata robo (nauliza)
Sa nintakwenda wapi (nauliza)
Hunitaki hata robo (nauliza)
Au ndo hunitaki (nauliza)
Hunipendi hata robo (nauliza)
Sa nintakwenda wapi (nauliza)
Hunitaki hata robo (nauliza)

Naandika meseji nafuta we kwako iko poa
Kila kitu ninacho kuuliza unanijoboa
Yaani kama ulijua mi nitajuta unavo nizodoa wewe
Huna shukurani umekua punda unanipiga mateke mwenyewe
Nakupa salamu una mute unasema nakupa yanini
Kumbuka mapenzi sio vita haujui nimekupendea nini
Tukimalizaga show we unanisifu ndo vitu nakupendea mimi
Kumbuka mi kuku wa kisasa figisi unaletea za nini
We kama huwezi nimpende nani aah
Je mapenzi hayana thamani aah
Na kama huwezi nambie hatuendani aah

Au ndo hunitaki (nauliza)
Hunipendi hata robo (nauliza)
Sa nintakwenda wapi (nauliza)
Hunitaki hata robo (nauliza)
Au ndo hunitaki (nauliza)
Hunipendi hata robo (nauliza)
Sa nintakwenda wapi (nauliza)
Hunitaki hata robo (nauliza)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Nauliza (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

B2K MNYAMA

Tanzania

B2k Mnyama is a Tanzania artist. He is the C.E.O  of Starbeat Records. ...

YOU MAY ALSO LIKE