Hellow Lyrics

Mr LG
Kama Salamu Sio Mbaya Basi mbona
Mwenzangu umenipita
Hivi taa ya Mapenzi Mimi Sitaki tufike huku
Niligundua haya yote mwisho Ni sita wewe
Hivi taa ya Mapenzi sijaluhusu Bali nitakua Juu zaidi ya Hapo
Nitapambana Mara mbili Mimi nitapewa tu nafasi zao
Kubali kusubiri nitakua Juu zaidi yao
Nitapambana Mara mbili Mimi nitapewa tu nafasi zao
Misimu ya wengine wengine Bali Kwangu ndio uache
Maana tukishapendanga wengine Wana wivu na mate
Hellow hellow Sababu ya kusema tunapendana
Hellow Hellow msimu Ni taabu mja wako Ni Mbali mama
Hellow hellow Kama Bibi na Bwana kupendana tunapendana
Hellow Hellow Ila usipate taabu jua mi Ni wako mama
Zile Mia Mia umepata Sokoni zibaki na huku
Kweli naumia lakini huoni napendana na huku
Wapuuze wanao kugasi maana Ukiwaza inauma
Kubali kusubiri nitakua Juu zaidi yao
Nitapambana Mara mbili Mimi nitapewa tu nafasi zao
Kubali kusubiri nitakua Juu zaidi yao
Nitapambana Mara mbili Mimi nitapewa tu nafasi zao
Misimu ya wengine wengine Bali Kwangu ndio uache
Maana tukishapendanga wengine Wana wivu na mate
Hellow hellow Sababu ya kusema tunapendana
Hellow Hellow msimu Ni taabu mja wako Ni Mbali mama
Hellow hellow Kama Bibi na Bwana kupendana tunapendana
Hellow Hellow Ila usipate taabu jua mi Ni wako mama
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Hellow (Single)
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
B2K MNYAMA
Tanzania
B2k Mnyama is a Tanzania artist. He is the C.E.O of Starbeat Records. ...
YOU MAY ALSO LIKE