Yesu Lyrics
Hmmm mmmh
Oooh ouuuhhh
Yesu Yesu
Damu yake yatung arisha kama theluji
Uwepo wake ni wa thamani shinda dhahabu
Kwa mapenzi yake aleinda msalabani
Alivumilia kilo kwa ajili yangu
Yesu Yesu
Yesu jina lake ni Yesu
Yesu Yesu
Yesu jina lake ni Yesu
Hiuyu Yesu, jamani hiuyu Yesu
Anasikia viliyo vyetu, anafuta machozi yetu
Anatuliza hofu yetu, aliondoa dhambi zetu
Hayo yote kwa ajili yetu
Yesu Yesu
Yesu jina lake ni Yesu
Yesu Yesu
Yesu jina lake ni Yesu
Akuita njoo, msikie mwana kondoo
Atakuponya, atakuokoa
Atuita njooni, tumisikize mwana kondoo
Aliyetufiya, anatupenda njoooo, njooo
Njoo, msikie mwana kondoo
Njooo njooo
Njoo, msikie mwana kondoo
Yesu Yesu
Yesu jina lake ni Yesu
Jésus Jésus
Jésus, il s’appelle Jésus
Jesu Jesu
Jesu ahayawu Jesu
Nyasaye nyasaye
Nyasaye nyingi nyasaye
Yesu Yesu
Yesu jina lake ni Yesu
Yesu Yesu
Yesu jina lake ni Yesu
Yesu Yesu
Yesu jina lake ni Yesu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Yesu (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
ATEMI
Kenya
Atemi Oyungu is a singer frm Kenya. She first made her mark in the music scene with the all-gi ...
YOU MAY ALSO LIKE