Home Search Countries Albums

Nishatua

ATAN

Nishatua Lyrics


Mama aliniambia 
Nisijali lawama nijaze kibubu
Pesa ya dunia
Niviweke nyuma itaja nisulubu

Nikimpata aliyetulia
Kumuumiza nyonga nisije jaribu
Dhuluba ikaja niingia
Oooh ooh

Tena niseme na moyo wangu
Vya wengine nisione
Kipya kinyeme ridhiki yangu
Kitenge kariki nishone

Leo ninayo kesho sio yangu
Hivyo chini mate niteme
Nisihofie ya walimwegu
Moyoo oooh

Kutwa ushinde kwenye baa 
Watoto wanalala na mie
Kila livazi nilovaa 
Kisirani kwa moyo nilie

Vuta subira ningejua
Ya kesho ningekueleza
Hivyo mwenzangu vumilia
Mi kwako sitojikweza

Beiby tayari nishatua
Moyo wangu chukua
Mi kwako chali 
Sasambua aaaah

Beiby tayari nishatua
Moyo wangu chukua
Nyingizo hali
Tuombe dua, oooh 

Vingi aliniambia 
Heshima sio bia
Pigana nyumbani upeleke
Mwanamke tabia

Shime akikuona popoke
Tena zidisha dua 
Dhiki mateso yapite
Uchafu usio doa
Palipo shaka ufikishe

Jua mapenzi safari
Vikwazo ni vingi vipie
Si tulivu njinjabari
Mama ubane anyunyuzie

Tena hakuna hodari
Vita ya penzi ajisifie
Uridhie yangu hali 
Mama oooh

Usinune ukavimba unikimbie
Kidani shingoni uning'inie
Shida univumilie
Mapenzi kitanzi bibiye

Vuta subira ningejua
Ya kesho ningekueleza
Hivyo mwenzangu vumilia
Mi kwako sitojikweza

Beiby tayari nishatua
Moyo wangu chukua
Mi kwako chali 
Sasambua aaaah

Beiby tayari nishatua
Moyo wangu chukua
Nyingizo hali
Tuombe dua, oooh 

Vingi aliniambia 
Heshima sio bia
Pigana nyumbani upeleke
Mwanamke tabia

Tena niseme na moyo wangu
Vya wengine nisione
Kipya kinyeme ridhiki yangu
Kitenge kariki nishone

Leo ninayo kesho sio yangu
Hivyo chini mate niteme
Nisihofie ya walimwegu
Moyoo oooh

Vuta subira ningejua
Ya kesho ningekueleza
Hivyo mwenzangu vumilia
Mi kwako sitojikweza

Beiby tayari nishatua
Moyo wangu chukua
Mi kwako chali 
Sasambua aaaah

Beiby tayari nishatua
Moyo wangu chukua
Nyingizo hali
Tuombe dua, oooh 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Nishatua (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ATAN

Tanzania

Atan is a Bongo Flava artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE