Home Search Countries Albums

Fofofo

ASLAY Feat. YOUNG LUNYA

Fofofo Lyrics


Halo ooh! uuuh! uuh!
Halo lolo lolo ooh! (Halo Halo )
Weeh ndo uninyong'onyeshe
Ukanifanya usiku nakesha
Kanifanya lofa amenikondesha 
kiufupi kanikomesha

Mmhh napatwa na chafya
Kanivuta kanigeuza shisha
Nikageuka camera man kila siku
Naona mapicha picha

Mchumba kapata mchumba kapata
Eeh! Mchumba kapata
Akibiki kamshindwa mganga
(Ooh! Kamshindwa mganga)

Naona aah! buzuki na vanga
Mgonjwa wa mapenzi nimetengwa (Kantenga aah!)
Katalina njoo mvua usinyeshe

Muacheni ajitambe eeh!
Anikomeshe eeh!
Shukrani ya Punda eeh! siku zote mateke
Mateso yake baridi kama nipo makete

Fofo fofo ooh! kanilaza fofo fofo ooh!
Fofo fofo ooh! fofo fofo kanilaza doro
Fofo fofo ooh! kanilaza fofo fofo ooh!
Fofo fofo ooh! fofo fofo kanilaza doro

Nipatie pombe nilewe mpaka nianguke
Kichwa nakijua mwenyewe, acha  nipombeke
Nipombeke nipombeke acha nipombeke

Ah! Kodi iih! ya nyumba nimelipa miye
Ila bado mwenye nyumba hataki niingie
Kodi kodi si mnajua inavyouma nyie
Sasa ubaya kwanini hataki niingie
Kwenye nyumba..

Yeah ooh my
Kwanza nilijiona nimepata (Aah! weeh! )
Kumbe nimepatikana kwenye penzi
La jini makata (Aah! weeh! )

Sasa si nawaambia me mwenyewe
Kwanza ni mtata (Aah! weeh! )
Anaweza akaniomba pesa nikimnyima 
Nachezea vitasa 

Na kusema kweli bado namtaka
Bila shaka japo ni chawote sio changu
Juzi nasikia alikuwa na Babuu
Kumpata hata upati tabu

Ukipiga shoot kali unatikisa nyavu ( Waya )
Mtaa mzima unamuita kicheche
Huwezi kuishi nae ukiwa na hasira za Machete

Nahisi aliniloga nilipomvishaga pete
Kumbe nilitaka kwenda kuoa paka mapepe

Katalina njoo mvua usinyeshe
Muacheni ajitambe eeh!
Anikomeshe eeh!
Shukrani ya Punda eeh! siku zote mateke
Mateso yake baridi kama nipo makete

Fofo fofo ooh! kanilaza fofo fofo ooh!
Fofo fofo ooh! fofo fofo kanilaza doro
Fofo fofo ooh! kanilaza fofo fofo ooh!
Fofo fofo ooh! fofo fofo kanilaza doro

Oh! Kaka Achiley yamenikuta
Amenishika kinoma
(Ooh! Yamenikuta amenishika (Kinoma aah!)
Oh! Kaka Achiley yamenikuta, amenishika kinoma
(Ooh! Yamenikuta kimemuuma ah!)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Fofofo (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ASLAY

Tanzania

Isihaka Nassoro  aka Dogo Aslay  is a musician from Tanzania. Born in 1995. ...

YOU MAY ALSO LIKE