Nakudai Lyrics

Angry Panda under Mickey aii
Venye umenibamba jo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Kam tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai, leo nakudai
Venye umenibamba jo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Kam tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai, leo nakudai
Msupa usiogope nakushow karibia
Si lazima nikope naweza kuibia
Ata kama ni ngima bado nitaadisia
Ju niko na maplans zinaweza kusaidia
Sina damu ya ufisi nakuwanga ule boy
Wakileta ubishi nitawaacha hoi
Achana na vidole achana na matoy
Mi naweza kupiga rungu mpaka uniite Moi
Nataka nikupende ndo tukuwe successful
Na usinitende usiwe ungrateful
Mi nataka twende mashambani nyumbani
Kejani kwa baba na mama jamani
Stingo ya upanga usinipige makata
Mauno ya nyoka napenda unavyokata
Macho za bano napenda unavyong'aa
Huku nyuma umejibeba hadi mimi nashangaa
Venye umenibamba jo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Kam tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai, leo nakudai
Venye umenibamba jo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Kam tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai, leo nakudai
Ni ka fine ting ati kanaitwa Nila
Kakipita mtavunja shingo ju ya thutha
Kamenyooka utadhani kanauzanga matunda
Ai aii mi nikamkuta
Si ni one time kukapiga kiswahili
Nakapiga lugha utadhani tuko wawili
Niite husband juu nitakufanya bibi
Watoi nao God atubless na wawili
Mi stambui kule unaishi
Bora mi ni wako we ni wangu ibaki wametii
Ata stadi nitajenga mami
Juu vile ninadai ukidai tunapiga mechi
Bora u-cooperate na uniseti
Nitakupenda kuliko Otieno na neti
Roho yangu we ni mainchic hupigi seti
Kuwa wangu mami ju enyewe
Venye umenibamba jo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Kam tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai, leo nakudai
Venye umenibamba jo manze nakucheki
Leo katatamba lazima nikuteki
Kam tu kwa keja mi nikupige deki
Leo nakudai, leo nakudai aaiii
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Nakudai (Single)
Copyright : (c) 2019 Angry Panda Clan
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ANGRY PANDA CLAN
Kenya
Angry Panda clan is a new music duo comprising of @Mark_Acairasan and @Calypso_calypso based in Kasa ...
YOU MAY ALSO LIKE